Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndo hivyo mkuu wakati mwingine mtu unaumia kinoma yani unawaza unasema ipo siku unasonga mbele kama injili tukija humu kidogo tunatoa maumivu kama hivi mzee maana wakati mwingine huoni hata wakumueleza kwamba mbona wengine wanapata tu bila interview mamaeeee sana
Tusio na wajomba huko kwenye mirija tunapata tabu sana, kama hivi
 
Check hizi ngoma.. Toka July zimekomaa tu na Received.. PSRS tunawasubir wakuu
 

Attachments

  • Screenshot_20221116-220029_3.jpg
    Screenshot_20221116-220029_3.jpg
    39.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom