Duh hii taasisi sijawh sikia imetngaza nafsi za kaziNaomba nisikie kwa mnaofahamu zaidi nafas kama nsssf huwa ajira zao wanatangazag?
Kipindi nimemalizq chuo tulikaa mwaka mmoja nikaona demu mmoja namjua amepata kazi pale bila nafasi kutangazwa kumuuliza akasema ana undugu na mkurugenzi mamaeeeee tuishi kitalaamu sanaDuh hii taasisi sijawh sikia imetngaza nafsi za kazi
Labda wafanyakazi wametoka PPF,NSSF na LGPF ndo maana hatuoni matangazo but ngoja wastaafu labda wanaweza ajiri wafanyakaziDuh hii taasisi sijawh sikia imetngaza nafsi za kazi
Kuna watu wanafanya kazi halmashauri wana hela hatari, zile tender wanajigea wenyewe acha kabisa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu wanaoishi ni watu, ile yale maeneo hayafai kwa makazi ya Watu. Mfano wanoishi MABONDENI SI WATU? ILA HAYAO MAENEO HAYAFAI KUISHI BINADAMU.
Mimi wala sijatokea familia tajiri ila kupambania ninachokiamini, wapo rafiki zangu walipiga ONE KALI kuanzia O LEVEL hadi ADVANCE ila kwa woga wa maisha walipofika CHUO wakachagua UALIMU ili tu apate mkopo na aajiriwe haraka. Mimi nilikomaa na nilikataa kabisa utumwa huo wa fikra, nikajilipua Kozi tofauti, now walioajiriwa miaka 3 kabla yangu, nilishawaacha mbali na wanaogopa hata kunipigia simu.
Uthubutu ndio msingi wa maisha yetu, woga siku zote hukupelekea kwenye majuto makuu.
Achaneni na kazi zinazonuka SHIDA, DHIKI, DHULMA, HUSDA na FITNA kama hizo za Halmashauri.
Do your best, fanya jitihada utafanikiwa, bora uchelewe upate sehemu bora.
Kupanga ni kuchagua, UENDE BAHI, KONGWA, BUHIGWE, KIBONDO au ukapumzike OFISI ZA EAST AFRICAN COMMUNITY, Hayo ya kulelewa kwa shida na mateso ni yako.
Sasa jiulize aliye TRA anayedili na tenda anamiliki nini??Kuna watu wanafanya kazi halmashauri wana hela hatari, zile tender wanajigea wenyewe acha kabisa,
Na juzi juzi tu ameolewa na jamaa nimesoma nae ndoa yao ikaoneshwa TBCπππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kma mazur
πππππSio poa aseehKuna mtu namfahamu yupo uko akuna tangazo ila jamaa ana ajira kuna saa naona nafasi izi niza watu maalumu ukute
ππππHaya mambo yanaumiza sana aseeh yani hizi kozi unazosema hazina ajira ndo mtu anapachikwa pale na hiyo hiyo kozi bila interview wala niniMimi kuna raia namfahamu kamaliza chuo juzi juzi tuu kashalamba mjira wa asali uko
Bila shaka ni TBC Jobless mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji3]Na juzi juzi tu ameolewa na jamaa nimesoma nae ndoa yao ikaoneshwa TBS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa analamba Asali gani hapa mjini?Na juzi juzi tu ameolewa na jamaa nimesoma nae ndoa yao ikaoneshwa TBS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππNdio ndio TBC huku mimi nimeachwa jamaa akawa anaoaBila shaka ni TBC Jobless mwenzangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa yupo TCAA sema yule demu walianzaga kutoka chuoHuyu jamaa analamba Asali gani hapa mjini?
Hahahahaa, Dunia haiko fair sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio TBC huku mimi nimeachwa jamaa akawa anaoa
Nchii hii dah inaumiza sana ukifkria haya mamboππππHaya mambo yanaumiza sana aseeh yani hizi kozi unazosema hazina ajira ndo mtu anapachikwa pale na hiyo hiyo kozi bila interview wala nini
Aliipataje? au kwa staili ya demu wakeJamaa yupo TCAA sema yule demu walianzaga kutoka chuo
ππππUkiambiwa hii kozi haina ajira aseeh sio kwa wote wengine wanapata ajira Tena bila interviewNchii hii dah inaumiza sana ukifkria haya mambo
ππππYani ile mmetoka kuchukua vyeti tu baada ya miezi minne Unaona yupo kazini sasa wakati mwingine hizi ishu watu hawasemi uwazi imekuaje au kapita wapiAliipataje? au kwa staili ya demu wake
Daaahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani ile mmetoka kuchukua vyeti tu baada ya miezi minne Unaona yupo kazini sasa wakati mwingine hizi ishu watu hawasemi uwazi imekuaje au kapita wapi
Ndo hivyo mkuu wakati mwingine mtu unaumia kinoma yani unawaza unasema ipo siku unasonga mbele kama injili tukija humu kidogo tunatoa maumivu kama hivi mzee maana wakati mwingine huoni hata wakumueleza kwamba mbona wengine wanapata tu bila interview mamaeeee sanaDaaahhh
Yes atakwambia tu nilipiga interview labda lakini deep down Kuna milolongo mirefuWaliowengi husema ni Mungu tuu amewezesha