Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu wanaoishi ni watu, ile yale maeneo hayafai kwa makazi ya Watu. Mfano wanoishi MABONDENI SI WATU? ILA HAYAO MAENEO HAYAFAI KUISHI BINADAMU.

Mimi wala sijatokea familia tajiri ila kupambania ninachokiamini, wapo rafiki zangu walipiga ONE KALI kuanzia O LEVEL hadi ADVANCE ila kwa woga wa maisha walipofika CHUO wakachagua UALIMU ili tu apate mkopo na aajiriwe haraka. Mimi nilikomaa na nilikataa kabisa utumwa huo wa fikra, nikajilipua Kozi tofauti, now walioajiriwa miaka 3 kabla yangu, nilishawaacha mbali na wanaogopa hata kunipigia simu.

Uthubutu ndio msingi wa maisha yetu, woga siku zote hukupelekea kwenye majuto makuu.

Achaneni na kazi zinazonuka SHIDA, DHIKI, DHULMA, HUSDA na FITNA kama hizo za Halmashauri.

Do your best, fanya jitihada utafanikiwa, bora uchelewe upate sehemu bora.

Kupanga ni kuchagua, UENDE BAHI, KONGWA, BUHIGWE, KIBONDO au ukapumzike OFISI ZA EAST AFRICAN COMMUNITY, Hayo ya kulelewa kwa shida na mateso ni yako.
Kuna watu wanafanya kazi halmashauri wana hela hatari, zile tender wanajigea wenyewe acha kabisa,
 
Back
Top Bottom