Nafasi ni nyingi kuliko wasailiwa na labda wanahitajika kwa uharakawamezngatia nn hapo kuita watu oral moja kwa moja bila written?
😂😂😂😂😂Pdf letu ni mwezi ujao labdaJamaa wakupandisha mapdf Leo ameanza Yale ya kuitwa kwenye usaili nadhan baadaye atapandisha lile pdf letu pendwa
Pdf Leo mkuu Nina taarifa nyeti sana maybe waache kutoa kisa kuepuka kujilikana kuwa taarifa ninazo na pdf ninayo hapa mkuu🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Pdf letu ni mwezi ujao labda
Mi ninadhani wanawahtaji wengi maana ule mchujo Watu wanakandwa sanaWatapiga oral tu direct aseeh wamekula shavu sana
Kwa hiyo idadi ya waliokus shortlisted naamin kundinkubw la walioomba limepigwa chiniNafasi ni nyingi kuliko wasailiwa na labda wanahitajika kwa uharaka
Itakuwa wamepiga panga sana maombi ya watu,accountants nchi hii wapo wengi sanaWatapiga oral tu direct aseeh wamekula shavu sana
hao walioomba wachache kwa sabab requirements ni CPA so nahis wakaona waende oral moja kwa mojaKwa hiyo idadi ya waliokus shortlisted naamin kundinkubw la walioomba limepigwa chini
KbsaItakuwa wamepiga panga sana maombi ya watu,accountants nchi hii wapo wengi sana
😂😂😂😂😂Hebu angalia na jina langu hahhh kama sipo nigawe suti hiiPdf Leo mkuu Nina taarifa nyeti sana maybe waache kutoa kisa kuepuka kujilikana kuwa taarifa ninazo na pdf ninayo hapa mkuu🤣🤣🤣
KbsaItakuwa wamepiga panga sana maombi ya watu,accountants nchi hii wapo wengi sana
Accounts officer hawajaitwa bado ambao ndo kundi kubwaItakuwa wamepiga panga sana maombi ya watu,accountants nchi hii wapo wengi sana
Yes itakuwa wanahitajika wengi sanaMi ninadhani wanawahtaji wengi maana ule mchujo Watu wanakandwa sana
Sana mkuuKuna Watu wanabahati aisee...
Kweli wenye CPA sio wengi sana mtaanihao walioomba wachache kwa sabab requirements ni CPA so nahis wakaona waende oral moja kwa moja
Mungu ni mwema ,wakati wako utafika tu yaani ni swala la muda tena utajikuta hata ujatarajia lakini jina lako lipo kwa pdfTunasubiri neema za Mungu aseeh
Amen kweli ikawe hivyo tunapigika sana mtaaniMungu ni mwema ,wakati wako utafika tu yaani ni swala la muda tena utajikuta hata ujatarajia lakini jina lako lipo kwa pdf
kupigika kupo tu mzee,tena fun fact ni kwamba kwa jinsi unavopigika lakini kuna mwamba anaadmire angekuwa kwenye nafasi yako,namaanisha unaweza ukawa unapigika lakini kuna watu wanapigika Mara Mia kuzidi weweAmen kweli ikawe hivyo tunapigika sana mtaani