Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kupigika kupo tu mzee,tena fun fact ni kwamba kwa jinsi unavopigika lakini kuna mwamba anaadmire angekuwa kwenye nafasi yako,namaanisha unaweza ukawa unapigika lakini kuna watu wanapigika Mara Mia kuzidi wewe
Sema kweli aseeh haya mambo unapoona umekwama Kuna mwingine amekwama zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi dogo alikoseaga kuweka detail zake za nida ikawa inagoma nikapiga aliyepokea akaniambia huyo mdogo wako ni mtanzania kweli??ikabidi nicheke tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaruhusiwa mkuu ndo maana kila post unaomba tofauti ili mtu akipata achague anapotaka kwenda
Huwa tunaomba multiple posts kwa sababu ya kutokuwa na uhakika kama tutatapa nafasi endapo ukiomba moja.

Sasa ukiomba hizo zote ni dhahiri ukichaguliwa utaenda, sasa inabidi upangiwe placement moja tu halafu zingine wapate wengine.

Imagine wewe pekee upangiwe placements zaidi ya moja halafu happ hapo wengine wabaki database, bora mgawanywe wote mfit mambo yaishe
 
Ukishaenda ile nyingine anachukuliwa yule wa data base wala hata haina shida
 
Ukishaenda ile nyingine anachukuliwa yule wa data base wala hata haina shida
Kama atachukuliwa immediately baadaya yule kuchukua barua hapo sawa, ila kama atasugua bench baada ya yule kuchukua barua, hapo sio fair, yaani unamkalisha mtu bench kwa sababu isiyo na mashiko kabisa
 
Kama atachukuliwa immediately baadaya yule kuchukua barua hapo sawa, ila kama atasugua bench baada ya yule kuchukua barua, hapo sio fair, yaani unamkalisha mtu bench kwa sababu isiyo na mashiko kabisa
Huwa wanaweka siku sijui 30 usipo ripoti kwa mwajiri wako anapelekwa wa database
 
Kama unataka moja utachukua moja lakini huzuiliwi maana ni haki yako
Kwani kesi ya meck pro hakukamilisha zile process za ajira?like kujaza mikataba and all that..maana yake kama hajakamilisha alichukua tu barua anaweza kureport taasisi nyingine atakayofanikiwa kupata..kama alikamilisha na akaanza kuingia kwenye mfumo basi inaweza ikamlazimu afanye utaratibu wa transfer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…