Sema kweli aseeh haya mambo unapoona umekwama Kuna mwingine amekwama zaidikupigika kupo tu mzee,tena fun fact ni kwamba kwa jinsi unavopigika lakini kuna mwamba anaadmire angekuwa kwenye nafasi yako,namaanisha unaweza ukawa unapigika lakini kuna watu wanapigika Mara Mia kuzidi wewe