Mpandisha PDF tulimsema mapema humu, naona kawa makini katupia kaplacement cha kulalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Awe amefunga akifunga hakuna Cha pdf Wala Nini[emoji1787]
Wengine mtawekwa database na itawarahisishia wao kuwapangia vituo vikipatikana tofauti na ambapo wangeendesha usahili mwingineSijuajua wametumia kigezo gaini kuita wote oral sisi post inataka watu wa 5 ila wameita zaidi ya 50 moja kwa moja oral
Sina uhakika ila inasemekana ni 50Ufaulu wa oral ni ngapi?
Kwakweli anatuchangamsha mwamba mpandisha pdfπ€£Tumepozwa na kaplacement kadogo, subira na iendelee
Hahahaaa, kweli kashatupia cha kulaliaLazma aweke pdf maana timu yake Leo inashinda huko so yupo very happy today
Pole sana mkuuAsee jobless mapambano yanaendelea,nmepigwa ndoige
Mwajiri alikuwa nani?CPA ilimfanya jamaa yangu kutoka ujobless hadi kulipwa 3million
Inategemea na post, hizi za kufundisha ni 70Sina uhakika ila inasemekana ni 50
Isije ikawa ni vibe la hat-trick ya Mayele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwakweli anatuchangamsha mwamba mpandisha pdf[emoji1787]
Sawa mkuuInategemea na post, hizi za kufundisha ni 70
Mhasibu ni yule Mwenye CPA na Afisa Hesabu sio diploma holder tu bali ni wote wenye Degree ya Accounts lakin hawana CPAnimezungumzia wahasibu, ww unazungumzia maafisa hesabu ambao huwa ni diploma holders (if am not mistaken). Wahasibu ni wengi zaidi bado
Utumishi sio wa kuwaamini jiandae tu kwa written na mara kwa mara angalia status wanabadilisha mara moja.Sijuajua wametumia kigezo gaini kuita wote oral sisi post inataka watu wa 5 ila wameita zaidi ya 50 moja kwa moja oral
Unauhakika 70 ??au Kila mtu hajui za Teaching UFAULU inakuaje?,, teaching zinapitia sehem ka Tatu hv 1.uandaaji wa presentation 2 . presentation 3.Q &A ..Inategemea na post, hizi za kufundisha ni 70
soma kanuni zao wameeleza hayo yote mkuuUnauhakika 70 ??au Kila mtu hajui za Teaching UFAULU inakuaje?,, teaching zinapitia sehem ka Tatu hv 1.uandaaji wa presentation 2 . presentation 3.Q &A ..
Mkuu placement unaweza kupangwa sehemu zote ambazo umefaulu mitihani yao. Ila mwisho wa siku ni lazima uchague moja ambako ndio utapewa check no.Kwamba wanaweza kukuweka kwenye placements 2 tofauti?
Kama ni hivyo, lazima tuhoji weledi wao kazini
Hapana mkuu, zote utakuwa umefaulu ila jukumu la kuchagua taasisi ni lako mhusika na sio PSPRS.Sasa ukiomba hizo zote ni dhahiri ukichaguliwa utaenda, sasa inabidi upangiwe placement
Hahahahahaha!Hasira mingi...Naweza nikafumba macho kama Sina Hela miaka miwili then navuta chuma ya maana watu waanze kuniita freemason mziki umetulia nikifika mtaani nafungua milango nachaa nyimbo ya darasa maisha na mziki naenda kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NB:SEMA MADEMU walionikataa kudadeki zao hata hawanijibu sms zangu wasap wananiblue tick tu mamamee na mie siwaambii kama nishakula asali hapa nasubri tu nianze kuvuta mpunga nikope Hela benki[emoji1787](nitalipa maana sidaiwi na Helsb mie so fresh tu) then ninunie Subaru au crown [emoji146] hapa then nipost status mamaeeee
Jobless ndo unaamka π[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]