Naweza nikafumba macho kama Sina Hela miaka miwili then navuta chuma ya maana watu waanze kuniita freemason mziki umetulia nikifika mtaani nafungua milango nachaa nyimbo ya darasa maisha na mziki naenda kulala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NB:SEMA MADEMU walionikataa kudadeki zao hata hawanijibu sms zangu wasap wananiblue tick tu mamamee na mie siwaambii kama nishakula asali hapa nasubri tu nianze kuvuta mpunga nikope Hela benki[emoji1787](nitalipa maana sidaiwi na Helsb mie so fresh tu) then ninunie Subaru au crown [emoji146] hapa then nipost status mamaeeee