ππππasa sindo waseme zilikuaje kwahiyo nasisi tukipata tukae kimyaWanaogopa tutawuliza habari za STATUS
Hawawez kusema maana weng wanasema hazina maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asa sindo waseme zilikuaje kwahiyo nasisi tukipata tukae kimya
Ina maana hizi placements hakuna hata mnufaika mmoja kutoka hapa jukwaani?
Kumbe zina maana au sioππππHawawez kusema maana weng wanasema hazina maana
Huwa tunasema mtu anaetumia jf basi ana uelewa mpana sana wa mamboinaezekana hawapo mkuu, maana JF sio watu wengi wanatumia, wengine hawajui ata kama ipo!
Hiyo TABIA sio ,Kama mtu akipata akasema nmepata atasipotaja mwajiri si poa tu mwanangu wizy ..unajua mtu alisema ata jobless wanapata moyo wa kusogeza sikuKwahiyo wakuu tukubaliane hapa mtu akipata ni kimya kimya au sio, maana watu kuuliza maswali munaulizaga sana tu ikija umepata unakaa kimya
Unajua wakituambia wamepata hata nasisi kidogo tunapata moyo wakupambana au kutuambia walioambana vipi inawezekana huwa tunakosea sehemu lakini Sasa watu wnakaa kimya aseehHiyo TABIA sio ,Kama mtu akipata akasema nmepata atasipotaja mwajiri si poa tu mwanangu wizy ..unajua mtu alisema ata jobless wanapata moyo wa kusogeza siku
Wanaogopa mtaanza kuwakopa nauli za Kwenda Dom ,mwenyew namsubir Meck pro nimkope mshahara wake wa kwanza maana jamaa ameshaunganishwa kwenye grid ya asali ya TaifaKwahiyo wakuu tukubaliane hapa mtu akipata ni kimya kimya au sio, maana watu kuuliza maswali munaulizaga sana tu ikija umepata unakaa kimya
Mi nikipata au nikikosa nitakuja hapa kwa wadau kuwaeleza juu ya status msijaliπ€£Kwahiyo wakuu tukubaliane hapa mtu akipata ni kimya kimya au sio, maana watu kuuliza maswali munaulizaga sana tu ikija umepata unakaa kimya
ππππππHahhhhh meck pro anawaza kununua Subaru aseehWanaogopa mtaanza kuwakopa nauli za Kwenda Dom ,mwenyew namsubir Meck pro nimkope mshahara wake wa kwanza maana jamaa ameshaunganishwa kwenye grid ya asali ya Taifa
πππππSekretarieti wamesema Kuna pdf lakufungia mwaka aseeh hilo linatoka wiki ijayoNgoja tukaendeleze maombi ili lipdf la usiku lisitukose
πππππHahhhhh tutapata muafaka wa status nakujua tunakwamaga wapi kwenye oralMi nikipata au nikikosa nitakuja hapa kwa wadau kuwaeleza juu ya status msijaliπ€£
πππππSekretarieti wamesema Kuna pdf lakufungia mwaka aseeh hilo linatoka wiki ijayo
Ndio ndio mzee wa status ,utasemaga ukwel ulipata au ulikosa au ulikuwa kweny kanzi dataπππMi nikipata au nikikosa nitakuja hapa kwa wadau kuwaeleza juu ya status msijaliπ€£
π€£π€£Chochote kitakachokuja kwakweli ntasema,kukosa pia sio dhambi hapa pazuri tunapena moyo na experience za sisi tunaotangulia zitasaidia sana wengine.ila mniombee nipateNdio ndio mzee wa status ,utasemaga ukwel ulipata au ulikosa au ulikuwa kweny kanzi dataπππ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo kwenye grid hapo daah, umenikumbuka kuna siku niko zangu site nimeji attach wakaja OSHA, wakatuuliza na kuchukua detail kisha tukawauliza walikuwa wamepaki ndinga Kali nje pale, walikuwa inspection officer na environment officer wanakagua sites, nikawa najisemea huu mrija huu ni suala LA muda tu, nikatoka nje nikaongee na dereva maana wao walikuwa washamalizana nasi wameenda site jirani, nikakutana na kijana mdogo tu kwenye ndinga anawasubiri jamaa wamalize, ilikuwa kama saa 10 hivi jioni. Na walikutana mmoja katoka mkoa huu na mwingine mkoa ule wamekutanishwa kikazi na wanafanya kikanda, kwasababu wako na operation hiyo.Wanaogopa mtaanza kuwakopa nauli za Kwenda Dom ,mwenyew namsubir Meck pro nimkope mshahara wake wa kwanza maana jamaa ameshaunganishwa kwenye grid ya asali ya Taifa