Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Juzi Niliona Mjadala Kuhusu Kuitwa Taasisi 2 Tofauti.
Kuna Boy Aliwaha kufany usaili TRC mwaka Jana Mwishoni.
Pia Alifanya usaili wa TPA mwaka huu Post Ya Artisan.
TRC wakamwita kazini akafata Barua Pspr Na Kuanza Kazi Ila Mshahara Kiduchu. Boy Aliniambia Anakula Box 3 na Ushee Na Kila K2 Anajitegemea Wakati Akisherekea Kuingia kwny Mrija Wa Asali., Upande wa Pili Anasononeka Kulamba Asali Kwa Kiwango Kidogo
TPA placement ikaja Kutoka kwny Ule mkeka pia akiwepo.
Akauliza Wadaub wa TPA Huko Mrija Unatema Kwa Kiwango Gani.
Boy To Man akambiwa mshahara Hautofautian sana ila kule kuna Allowance nyingi ela ya usafiri, Kodi, na mengine plus Overtime So Wanapata zaidi.
Akanipigia Simu Kuniuliza Mkakati Wa Kufanya Aende PSPR Kufata Barua Then Asepe TPA.
Barua alipewa n PsPr akariport TPA Akafany Vipimo.
Cheque No Ya Hazina Ndo ilikuja Kumtemesha Ndoano.
Ndoto Ikapepea Yupo TRC Anaendelea Na Majukumu
 
Hapo ingewezekana kama angeenda kwa style ya transfer otherwise hutoboi hata kama umepata mirija mitatu ya asali
 
Hapo ingewezekana kama angeenda kwa style ya transfer otherwise hutoboi hata kama umepata mirija mitatu ya asali
Asingeweza Sababu Ajira Yake Ya TRC Bado ilikuwa mpya hata miez 6 kazini alikuwa hajatimizi so Barua ya udhibitisho Kazini Hana.
Ni Kama vile mtu Anajiriwa leo Then miez 2 mbele anataka akope Bank Kwa Dhaman ya mshahara.
Hawakubali.
 
Asingeweza Sababu Ajira Yake Ya TRC Bado ilikuwa mpya hata miez 6 kazini alikuwa hajatimizi so Barua ya udhibitisho Kazini Hana.
Ni Kama vile mtu Anajiriwa leo Then miez 2 mbele anataka akope Bank Kwa Dhaman ya mshahara.
Hawakubali.
Kweli hapo haiwezekani hajathibitishwa.apambane tu asijali mbeleni huko atapata mlango wa kutokea..shetani alivyo mbaya Sasa ukute asingeenda kureport ila asubiri hii nyingine asingepata angekosa kote
 
Vipimo gani? Hiv?
 

babu dere alikupa madini gani mkuu?
 
Shukurani kiongozi
 
Hilo lilimuwia ugumu kwa sababu placement ziliachana kutoka, endapo zingetoka kwa pamoja angepata wasaa wa kuchagua panapofaa.

PSRS inaonekana hawakatazi mtu kuchukua barua ila ataenda kujua hali ilivyo mbele ya safari.
 
Ile ya Cive nilikandwa aseeh lakini nilikuwaga nimesoma mpka nikawa najiuliza Hawa utumishi watachomokea wapi yani lakini nikakandwa kwakukosa marks mbili nikaja Duce ambayo sikuwa nimeizingatia sana aseeh nilipitaga nayo kwa kupata marks za juu kabisa ,kwahiyo nilichojifunga unapopanga Jambo ,Mungu nae ana njia zake zakukuonesha utukufu wake.
Tusisahau kusali wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…