Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Humu ndani Watu wanakamdwa sana .mpaka hutamani kurudi hapo CIVE
 
Dah inasikitisha kweli mi TPA napakubali sana pale kuna mbaba jirani yetu ni office attendant tu ila dah pale kitaa anaupgwa mwingi sana Watu wanadhan jamaa ni bonge la bosi kule bandari Kumbe wapi ,jamaa ana ndinga Kali sana
 
Ushuhuda nzuri nadhani hapa unaweza chagua taasisi kabla hujaenda kuripoti ikitokea placement zimetoka kabla haujaanza kazi sehemu mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…