Inatokeaga sana hii mida ya asubuhiπππππNilikuwa natetemeka hatari, ile ukiwa umesimama halafu miguu inakuwa inatetemeka ambapo mtu hawezi kugundua kama unatetemeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nawazaga kama oral ndo tungekuwa tunapigwa muda ule afu umesimamaππππNilikuwa natetemeka hatari, ile ukiwa umesimama halafu miguu inakuwa inatetemeka ambapo mtu hawezi kugundua kama unatetemeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
weka no moja inayopatikana.kama ilipotea ya zamani,update mpya.Kuwa cuurent.Habar
Nauliza namba wanayotumia kuwapigia simu incase ukiappear huko portal ni ile niliyoweka kwenye system au niliyosaini kwenye lile sheet lao kule dom?
Uliyosaini kwenye sheet , lakini jitahidi ya kwenye system iwe inapatikana nayenyeweHabar
Nauliza namba wanayotumia kuwapigia simu incase ukiappear huko portal ni ile niliyoweka kwenye system au niliyosaini kwenye lile sheet lao kule dom?
Kaka mwaka huu huwezi kula vumbi tena mzeeππππTujue kama tuendelee kula vumbi au lah
TPA pa ukweli broDah inasikitisha kweli mi TPA napakubali sana pale kuna mbaba jirani yetu ni office attendant tu ila dah pale kitaa anaupgwa mwingi sana Watu wanadhan jamaa ni bonge la bosi kule bandari Kumbe wapi ,jamaa ana ndinga Kali sana
Sehemu nilizokuwa naziwazia kama hizo sema Mungu sio athumani anakupeleka unapositahiriTPA pa ukweli bro
Kweli mjumbe,pindi tumetulia kwenye crown zetu kudadadeki...Lazima watueleze kwanini walitublue tick
πππππHahhhh kwenye Subaru fulani hivi halafu 2025 naenda kugombea ubunge mamaeee jobless vimba sana mtaaniKweli mjumbe,pindi tumetulia kwenye crown zetu kudadadeki...
Wana wa humu Siyo wala nini,Kuna kina sisi na wenzetu tukitokaga huku tuna share hadi maswali ya written na oral...ila Kuna wenzetu.wakipata kimya.Sasa hivi Kila mtu apambane na hali yake...Kwahiyo wakuu tukubaliane hapa mtu akipata ni kimya kimya au sio, maana watu kuuliza maswali munaulizaga sana tu ikija umepata unakaa kimya
TrueSehemu nilizokuwa naziwazia kama hizo sema Mungu sio athumani anakupeleka unapositahiri
Angewaambia kuwa ni mwajiriwa hivyo wasingemtengenezea cheki namba mpya bali angechukua hiyo barua ya TPA toka PSRS zen angeandika barua kupitia kwa boss wake wa sasa TRC kwenda UTUMISHI ili ahamie wamwboshe toka taasisi A kwenda taasisi BJuzi Niliona Mjadala Kuhusu Kuitwa Taasisi 2 Tofauti.
Kuna Boy Aliwaha kufany usaili TRC mwaka Jana Mwishoni.
Pia Alifanya usaili wa TPA mwaka huu Post Ya Artisan.
TRC wakamwita kazini akafata Barua Pspr Na Kuanza Kazi Ila Mshahara Kiduchu. Boy Aliniambia Anakula Box 3 na Ushee Na Kila K2 Anajitegemea Wakati Akisherekea Kuingia kwny Mrija Wa Asali., Upande wa Pili Anasononeka Kulamba Asali Kwa Kiwango Kidogo
TPA placement ikaja Kutoka kwny Ule mkeka pia akiwepo.
Akauliza Wadaub wa TPA Huko Mrija Unatema Kwa Kiwango Gani.
Boy To Man akambiwa mshahara Hautofautian sana ila kule kuna Allowance nyingi ela ya usafiri, Kodi, na mengine plus Overtime So Wanapata zaidi.
Akanipigia Simu Kuniuliza Mkakati Wa Kufanya Aende PSPR Kufata Barua Then Asepe TPA.
Barua alipewa n PsPr akariport TPA Akafany Vipimo.
Cheque No Ya Hazina Ndo ilikuja Kumtemesha Ndoano.
Ndoto Ikapepea Yupo TRC Anaendelea Na Majukumu
Swala dogo sana hili kama wewe ni public servant ukipata ajira mpya lazima uombe kibali kwa katibu mkuu UTUMISHI. Naposema utumishi namaanisha wizara ya itumishi na sio psrs wengi wanachanganya kati ya psrs na utumishi.Hapo ingewezekana kama angeenda kwa style ya transfer otherwise hutoboi hata kama umepata mirija mitatu ya asali
Ok hapo sawaAsingeweza Sababu Ajira Yake Ya TRC Bado ilikuwa mpya hata miez 6 kazini alikuwa hajatimizi so Barua ya udhibitisho Kazini Hana.
Ni Kama vile mtu Anajiriwa leo Then miez 2 mbele anataka akope Bank Kwa Dhaman ya mshahara.
Hawakubali.
La mchongo hili ukiona Gmail, yahoo, Hotmail n.k ujue magumashiWatakuwa wana uhitaji sana, wameamua watangaze wao na maombi yaelekezwe kwao.
Mlio nasifa jaribuni bahati yenuView attachment 2420364
Asaivi kimya kimya kila mtu apambana anavyojua ukipata nikupotea tu kama radi maana tunaoshare experience wachache lakini wengi wanatuchora tuπ¬π¬π¬π¬Wana wa humu Siyo wala nini,Kuna kina sisi na wenzetu tukitokaga huku tuna share hadi maswali ya written na oral...ila Kuna wenzetu.wakipata kimya.Sasa hivi Kila mtu apambane na hali yake...
Yes yesLa mchongo hili ukiona Gmail, yahoo, Hotmail n.k ujue magumashi
Bado hajathibitishwa kazini tatizo,alafu boss kukusainia barua ili uhamie kwingine napo ni kipengeleAngewaambia kuwa ni mwajiriwa hivyo wasingemtengenezea cheki namba mpya bali angechukua hiyo barua ya TPA toka PSRS zen angeandika barua kupitia kwa boss wake wa sasa TRC kwenda UTUMISHI ili ahamie wamwboshe toka taasisi A kwenda taasisi B
Kweli aisee...Asaivi kimya kimya kila mtu apambana anavyojua ukipata nikupotea tu kama radi maana tunaoshare experience wachache lakini wengi wanatuchora tu[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]