Tusubiri tarehe za mwisho wa mweziWik ndo inaisha hvyo Leo hakuna pdf la kulalia
Ngoja tuvute subraTusubiri tarehe za mwisho wa mwezi
Inshallah Itakuwa heriNgoja tuvute subra
Mpaka mapdf yaishe kule jikon na majobless wote waunganishwe na mrija wa asali wa gridi ya taifa.Jamani malizeji basi huu uzi
Huu Uzi kwa namna ulivyo ni endelevu,maana jobless Kila siku wanagraduate upyaa wakandwaji ndio usiseme,so unajikuta ukiwa unapitia Ile process nzima ya kukandwa automatic Uzi unakugusa tuMpaka mapdf yaishe kule jikon na majobless wote waunganishwe na mrija wa asali wa gridi ya taifa.
Huu uzi Haiwezi kuisha ni endelevu kwahiyo naamini utawasaidia wengi sana watajifunza humu nadhani mwaka huu karibia wote tutapata kazi kwahiyo Watakuja kuendelea wengineHuu Uzi kwa namna ulivyo ni endelevu,maana jobless Kila siku wanagraduate upyaa wakandwaji ndio usiseme,so unajikuta ukiwa unapitia Ile process nzima ya kukandwa automatic Uzi unakugusa tu
Umeshapata kazi mkuu?Jamani malizeji basi huu uzi
🤣🤣🤣🤣Kaka mwaka huu huwezi kula vumbi tena mzee😂😂😂😂
Kuwa na imani tu mkuu hofu huondoa baraka zetu kwahiyo amini hili🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Hahhhhh leo admin katukaushiaLaleni tu Sasa admin simuelewi kabisa
Anazingua sana🤣😂😂😂😂😂Hahhhhh leo admin katukaushia
Noma sana[emoji3][emoji3]nawazaga kama oral ndo tungekuwa tunapigwa muda ule afu umesimama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na kesho Admn anaenda zake Qatar kuchek Kumbe la dunia kwa mantik hyo mpaka hii tournament iishe ndo tutaona mapdf mapyaLaleni tu Sasa admin simuelewi kabisa
Watu wanakausha mzee we ukina wapo kimya ujue washaenda kuchukua baruaHakuna jobless yeyote humu aliyejinyakulia zawadi ya story of change?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh huyo ni kijana mmoja wa hovyo sana yupo humu kaka
Watakuwa wana uhitaji sana, wameamua watangaze wao na maombi yaelekezwe kwao.
Mlio nasifa jaribuni bahati yenuView attachment 2420364
Huu uzi Haiwezi kuisha ni endelevu kwahiyo naamini utawasaidia wengi sana watajifunza humu nadhani mwaka huu karibia wote tutapata kazi kwahiyo Watakuja kuendelea wengine