Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuonekana umepumzika weekend muhimu kwa afya ya akili!

Hahaha! Nakumbuka wakati tuko shule ya msingi na sekondari wale waliokuwa wanakuwa wa mwisho, siku mwalimu akitunga mtihani mgumu likafeli darasa zima wao huwa wanapata faraja sana kwamba, “hata fulani kichwa wa darasa naye amepata sifuri kama mimi!?”.

Hata jobless asiye na kazi kabisa, kinachomfanya aifurahie sana weekend sio kupumzika bali ni kuona na wengine siku hiyo hawaendi kazini wanashinda nyumbani au mitaani kama yeye.
 
Halafu mbona Prok yuko kimya sana au na yeye amepigiwa simu na psrs nini?

Na bado kuna masuala ya kanzi data, isijekuwa wameshamuita na kwa sasa wanamfundisha namna ya kuogelea kwenye mapipa ya asali (Yale mafunzo ya utangulizi wa kuijua kazi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…