Kupumzika ni muhimu kiafyaKaka wewe unaonaje?
Huyo dada alisema anajihusisha na biashara, hiyo ni sababu moja ya kumkeep busyHalafu mbona Prok yuko kimya sana au na yeye amepigiwa simu na psrs nini?
Na bado kuna masuala ya kanzi data, isijekuwa wameshamuita na kwa sasa wanamfundisha namna ya kuogelea kwenye mapipa ya asali (Yale mafunzo ya utangulizi wa kuijua kazi).
Mara paap unakuja kushtuka watu washachukua barua wakati uko busy na pira biriani huko Qatar[emoji3][emoji3][emoji3]Qatar mpango mzima ,haya makitu ya pdf tupumzike sasa aaah!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa lazima ninunue kilichokuwa kinanitesa aseeh afu na sitaki kupangiwa matumizi ya pesa zangu kudadeki ,jobless nipo kwenye Subaru piga horn nyingi sana njiani na kuipost sana status ,usipo view nakutumia picha inbox [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hii dunia!Kipindi unasema upuumzike ndo unatafuta, then mwenyewe huna habari huko zako unacheki pira kachori.Kuja kushituka ulitakiwa uwe kwenye mrija wa asali....Mara paap unakuja kushtuka watu washachukua barua wakati uko busy na pira biriani huko Qatar[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Kaka jobless tunadhalaurika sana mtaani watu hata kutusalimia wanaona tunawapotezea muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taratibu jobless
😂😂😂😂afu ukute address na namba ulizoweka zote hazitumiki hahhhhNyie hii dunia!Kipindi unasema upuumzike ndo unatafuta, then mwenyewe huna habari huko zako unacheki pira kachori.Kuja kushituka ulitakiwa uwe kwenye mrija wa asali....
Unaweza jimwagia petrol Kwa Hasira...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu ukute address na namba ulizoweka zote hazitumiki hahhhh
Na ukumbuke ana possibility nyingi ya kuogelea kwenye mrija wa asali na vile vipaumbele wanavyopewa wadada😂😂😂😂😂 Jobless wenzangu mngenipigia pande kwa Prok nijibebee mwanasheria😂
Na nafasi yako ilishajazwa na kanzidataMara paap unakuja kushtuka watu washachukua barua wakati uko busy na pira biriani huko Qatar[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂Kwahiyo niweke juhudi au sio?Na ukumbuke ana possibility nyingi ya kuogelea kwenye mrija wa asali
Eeh weka juhudi ukipata kama umepata akipata kama umepata🤣😂😂😂😂😂Kwahiyo niweke juhudi au sio?
Hahahahaa.Nyie hii dunia!Kipindi unasema upuumzike ndo unatafuta, then mwenyewe huna habari huko zako unacheki pira kachori.Kuja kushituka ulitakiwa uwe kwenye mrija wa asali....
😂😂😂😂Ngoja nimcheki maisha ndo haya haya watoto watakula degree Prok njoo hapa tupate baraka za jobless hukuEeh weka juhudi ukipata kama umepata akipata kama umepata🤣
Mkono mtupu haulambwi ndugu yangu, kudharaulika hakuepukiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka jobless tunadhalaurika sana mtaani watu hata kutusalimia wanaona tunawapotezea muda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na nafasi yako ilishajazwa na kanzidata
Unapoenda sehemu ukamkuta mtu wewe ndiye unayeanza kusalimia kwahiyo ukifika pale kabla hujakaa salimia then wenyewe watakukaribisha ukae ndo wataendelea kukukanda kwa maswali ya uvuguvugu na mitetemo ya radiHello jamani hivi ukiingia interview ya oral ukifik mle ndni unakaa kwenye kiti na unasalimia au untakiwa uambiwe kwnz then ndio ukae na waanze kukusalimia wao....na je swli la kwnza la explain about your self unaelezea mambo gani
Hebu msaidie kwanza jobless hapo juu hayo maswali yake afu ndo tusome hili andiko sasaNilikuwa nasoma hili andiko la Nyerere.
Kwa kweli Mwalimu alikuwa na maono ya mbali.
Changamoto tunayoipitia sasa hivi ndio alielezea miaka hiyo ya 60
na ndo inatafuna vijana wengi sasa
kama ukiwa na muda unaeza pitia hili andiko (EDUCATION FOR SELF RELIEANCE) linaeza kukutoa mahali fulani kukupeleka hatua ya juu