Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Halafu mbona Prok yuko kimya sana au na yeye amepigiwa simu na psrs nini?

Na bado kuna masuala ya kanzi data, isijekuwa wameshamuita na kwa sasa wanamfundisha namna ya kuogelea kwenye mapipa ya asali (Yale mafunzo ya utangulizi wa kuijua kazi).
Huyo dada alisema anajihusisha na biashara, hiyo ni sababu moja ya kumkeep busy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa lazima ninunue kilichokuwa kinanitesa aseeh afu na sitaki kupangiwa matumizi ya pesa zangu kudadeki ,jobless nipo kwenye Subaru piga horn nyingi sana njiani na kuipost sana status ,usipo view nakutumia picha inbox [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Taratibu jobless
 
Hello jamani hivi ukiingia interview ya oral ukifik mle ndni unakaa kwenye kiti na unasalimia au untakiwa uambiwe kwnz then ndio ukae na waanze kukusalimia wao....na je swli la kwnza la explain about your self unaelezea mambo gani
Unapoenda sehemu ukamkuta mtu wewe ndiye unayeanza kusalimia kwahiyo ukifika pale kabla hujakaa salimia then wenyewe watakukaribisha ukae ndo wataendelea kukukanda kwa maswali ya uvuguvugu na mitetemo ya radi
 
Nilikuwa nasoma hili andiko la Nyerere.
Kwa kweli Mwalimu alikuwa na maono ya mbali.
Changamoto tunayoipitia sasa hivi ndio alielezea miaka hiyo ya 60
na ndo inatafuna vijana wengi sasa

kama ukiwa na muda unaeza pitia hili andiko (EDUCATION FOR SELF RELIEANCE) linaeza kukutoa mahali fulani kukupeleka hatua ya juu
 

Attachments

Nilikuwa nasoma hili andiko la Nyerere.
Kwa kweli Mwalimu alikuwa na maono ya mbali.
Changamoto tunayoipitia sasa hivi ndio alielezea miaka hiyo ya 60
na ndo inatafuna vijana wengi sasa

kama ukiwa na muda unaeza pitia hili andiko (EDUCATION FOR SELF RELIEANCE) linaeza kukutoa mahali fulani kukupeleka hatua ya juu
Hebu msaidie kwanza jobless hapo juu hayo maswali yake afu ndo tusome hili andiko sasa
 
Back
Top Bottom