Huyo dada alisema anajihusisha na biashara, hiyo ni sababu moja ya kumkeep busy
😂😂😂Kila nilivyojitahidi kuulizia hata anauza saa au vipi aligoma nisiende kununua , jobless hathaminiki hahhhhNaona pasi zilikuwa zinaelekezwa kwako ila Prok akatumia mbinu za kiwakili kukujaza upepo kama mtuhumiwa na kweli ukapoteana.
Basi ndugu wakili akaiambia Mahakama kupitia hakimu tukushuhudie namna unavyotetemeka na kuwawakilisha vibaya majobless wa Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila nilivyojitahidi kuulizia hata anauza saa au vipi aligoma nisiende kununua , jobless hathaminiki hahhhh
😂😂😂😂HahhhhhHahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.
Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
😂😂😂😂akija online naanza tulipoishiaNdio mbinu za kiwakili hizo, sasa na wewe ukakata tamaa akajua huyu hayuko serious.
Daaahh, ila kachukua maamuzi magumu sanawakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
Ndio mkuumkuu samahani kwani unaishi kibaha
na ndio waliokupiga wewe kibuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahhhhh Kwamba watoto waliohongwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona pasi zilikuwa zinaelekezwa kwako ila Prok akatumia mbinu za kiwakili kukujaza upepo kama mtuhumiwa na kweli ukapoteana.
Basi ndugu wakili akaiambia Mahakama kupitia hakimu tukushuhudie namna unavyotetemeka na kuwawakilisha vibaya majobless wa Mungu.
Hiu taarifa umeipata wapi? Maana kila nikiitafuta siipatiwakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
😂😂😂😂Hahhhh kibuti na maneno makali sanana ndio waliokupiga wewe kibuti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipa tu mzee, laki 3 ni pesa ndogo sana...ukishareport kazini utasahau kabsa ka ulitoa hio laki 3 hata wakikutupa mbali huko, af si umesema unamwachia huyo manzi vitu vya ndani ka vipi mwachie hadi gheto(kodi) endapo umeitwa siku chache baada ya tar 10.Stress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu
Halali anajishughulisha na nini?!!!Watu amken,majobless hawalali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.
Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
Nilitaka kukumbusha hii Jana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.
Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
Tuelekeze sasa masikio Qatar, mpandisha PDF mwenyewe akili yake ipo Qatar kwa sasaWatu amken,majobless hawalali
Nyuzi bora kabisa kwa upande ningekuwa na uwezo ningeipandisha mawinguni.
Now upande wangu.....
Niliingia interview ya oral nikaulizwa maswali matano 5 Nikajibu yote kwa Confidence Kubwa mno ila ukweli swali moja kati ya hayo ndio nilijua jibu lake....Mengine ilikuwa Bla bla in English with 100% Confidence...
Ila Mpk now niko nakula utawala na Per diem every week