Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Stress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu
Janauary utakuwa kazini kijana mwezi ujao utapangwa kituo cha kazi
 
Sio upendeleo bali inauhitaji mkubwa mno sema utumishi ndo wanatoa vibali kidogo kidogo ila VETA uhitaji ni mkubwa sana kwa watumishi vyuo kila leo vinafunguliwa,sahvi kila wilaya vyuo vinajengwa na hivi vyote vinahitaji walimu yaani ingekuwa enzi zile wanaajiri wenyewe ndo ungeshamgaa matangazo ya ajira kibao,sema sasa utaratibu huu wa kupita utumishi unachelewesha sana
 
wakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
So sad, Mungu ampunguzie Adhabu ya kaburi, inshaallah milango ifunguke kwa vijana wanaosaka tonge wote.
 
Back
Top Bottom