Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Janauary utakuwa kazini kijana mwezi ujao utapangwa kituo cha kaziStress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu