Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona pasi zilikuwa zinaelekezwa kwako ila Prok akatumia mbinu za kiwakili kukujaza upepo kama mtuhumiwa na kweli ukapoteana.

Basi ndugu wakili akaiambia Mahakama kupitia hakimu tukushuhudie namna unavyotetemeka na kuwawakilisha vibaya majobless wa Mungu.
😂😂😂Kila nilivyojitahidi kuulizia hata anauza saa au vipi aligoma nisiende kununua , jobless hathaminiki hahhhh
 
Hahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.

Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
 
😂😂😂😂Hahhhhh
 
wakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
Daaahh, ila kachukua maamuzi magumu sana
 
wakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
Hiu taarifa umeipata wapi? Maana kila nikiitafuta siipati
 
Stress zitanimaliza ndugu yenu hawa jamaaa kimya afu mwezi ujao natakiwa kama tarehe 10 nilipe laki 3 Kodi jamani Sasa Kwa kweli nalipa Kodi then napelekwa kigoma nakua nimepoteza Hela yangu nikilipa Kodi basi waacha tukae hata miezi 3 ndo wapige simu
Lipa tu mzee, laki 3 ni pesa ndogo sana...ukishareport kazini utasahau kabsa ka ulitoa hio laki 3 hata wakikutupa mbali huko, af si umesema unamwachia huyo manzi vitu vya ndani ka vipi mwachie hadi gheto(kodi) endapo umeitwa siku chache baada ya tar 10.
 
Hahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.

Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha! Majobless muwe makini pia kwenye kucheza michezo ya bahati nasibu. Unaweza ukashinda safari ya kwenda Qatar kuangalia kombe la dunia na kurudi mwezi ujao halafu ukiwa kwenye ndege mkeka ukatolewa na psrs jina lako lipo na kwamba mnahitajika haraka kuripoti kazini na wewe nauli ya kurudia huna.

Unawezajikuta unashinda kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya psrs kuwaelezea shida yako na hawatakujibu.
Nilitaka kukumbusha hii Jana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wanakula Asali hawasemi...

Nyuzi bora kabisa kwa upande ningekuwa na uwezo ningeipandisha mawinguni.
Now upande wangu.....
Niliingia interview ya oral nikaulizwa maswali matano 5 Nikajibu yote kwa Confidence Kubwa mno ila ukweli swali moja kati ya hayo ndio nilijua jibu lake....Mengine ilikuwa Bla bla in English with 100% Confidence...
Ila Mpk now niko nakula utawala na Per diem every week

Bonyeza quote ikupeleke kwenye uzi original
 
Back
Top Bottom