Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Janauary utakuwa kazini kijana mwezi ujao utapangwa kituo cha kazi
 
Sio upendeleo bali inauhitaji mkubwa mno sema utumishi ndo wanatoa vibali kidogo kidogo ila VETA uhitaji ni mkubwa sana kwa watumishi vyuo kila leo vinafunguliwa,sahvi kila wilaya vyuo vinajengwa na hivi vyote vinahitaji walimu yaani ingekuwa enzi zile wanaajiri wenyewe ndo ungeshamgaa matangazo ya ajira kibao,sema sasa utaratibu huu wa kupita utumishi unachelewesha sana
 
So sad, Mungu ampunguzie Adhabu ya kaburi, inshaallah milango ifunguke kwa vijana wanaosaka tonge wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…