Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndio mkuu nimezeeka Sasa umri wa kustaafu huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah Mungu akusaidie asee we classmate wangu wenzetu wengi wa mwaka wetu washalamba asali hata kwenye private sectors sisi ndo bado ila kikubwa tunaishi ela za kula zipo ila kujenga hatuwezi na hatukopesheki
 
Hv huu utofauti wa Mua wa Usaili kama written interview imekaaje hii.. yaan.. unakuta kwenye tangazo lao wameweka saa 4:00 asubuhi but uliingia kwenye account ipo saa 1 Asubuhi..!!!
 
Bora kuwahi kaka kuliko kuchelewa bt kwa jinsi PSRS nilivyowasoma hakuna usaili utaanza saa 1 pale tena kama mchujo ndo kuzidi bora hata oral
 
Hv huu utofauti wa Mua wa Usaili kama written interview imekaaje hii.. yaan.. unakuta kwenye tangazo lao wameweka saa 4:00 asubuhi but uliingia kwenye account ipo saa 1 Asubuhi..!!!
Itakuwa ni makosa, au pengine utofauti huo ni kwa sababu ya muda wa kukagua vyeti ambao huchukua hata zaidi ya masaa 3.

Kama wameandika kwenye tangazo kuwa usaili utaanza saa moja maana yake wataanza kukagua vyeti kwanza na kama mpo wengi mtihani utachelewa hata kwa masaa 3 mpk 4.
 
Hv huu utofauti wa Mua wa Usaili kama written interview imekaaje hii.. yaan.. unakuta kwenye tangazo lao wameweka saa 4:00 asubuhi but uliingia kwenye account ipo saa 1 Asubuhi..!!!
Kwenye profile wameandika saa ngapi?
 
Back
Top Bottom