Dah! Kuna Wana Wanamagari aisee maisha haya🤣 Kikubwa duaDah Mungu akusaidie asee we classmate wangu wenzetu wengi wa mwaka wetu washalamba asali hata kwenye private sectors sisi ndo bado ila kikubwa tunaishi ela za kula zipo ila kujenga hatuwezi na hatukopesheki
Ndugu yangu naelekea kustaafu hapa🤣🤣😂😂😂😂bado Kaka umri bado sana
Hata mimi nilikua na vitoto mpaka nikawa naona aibu vitoto ambavyo wakati namaliza chuo ndio viko form four. 😂😂😂😂😂Ninyi tungepambanishwa na mimi halafu marks zigongane, umri ungenibeba asubuhi na mapema sana
Nishaota sugu kabisa na hili jua la mtaaniKwani nawewe ushapigwa sana na jua mtaani
Life haliko fair kabisa, ukijifikiria unaweza ukahisi kama vile kuna gundu fulani linakuandama hadi michongo ikawa inakwama[emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi nilikua na vitoto mpaka nikawa naona aibu vitoto ambavyo wakati namaliza chuo ndio viko form four. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio poa bro na life lilivyo la kifala vitoto vinakukimbiza tena kwenye interviewLife haliko fair kabisa, ukijifikiria unaweza ukahisi kama vile kuna gundu fulani linakuandama hadi michongo ikawa inakwama[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Mzee we bado kijana sana aseeh chamuhimu usisahau Subaru nyumba itajengwa badaeNdugu yangu naelekea kustaafu hapa🤣🤣
Bora kuwai ndugu zangu, mie nishawai kukosa usaili kwa kuleta mazoea pale CIVE...usaili ulikuwa saa 1 kamili nikachukulia poa kutokana na idadi ya watu tulioitwa zaidi ya buku nikajua ukaguzi hadi kuanza itakuwa saa mbili ...daaah kumbe siku hiyo wakandaji waliwai mapema sana saa 12 tu walishatia timu pale machinjioni CIVE na mbaya zaidi wasailiwa walifika wachache tu kati ya watu 1000+ waliofika hata 50. So mie nilipofika pale ndio jamaa bado kidogo tu watoke pia sikuwa peke angu niliuechelewa tulikuwa wengi tu. So mazoea ni mabaya siku hizi mapema tu nishafika. Kilichoniumiza zaidi siku hiyo niliwai kuamka pale lodge nilipofikia ila kwakua usaili wa bunge tuliambiwa saa 3 Asubuhi ila tulifanya saa 10 kasoro jioni nikajua mambo ni yaleyale but hiyo cku ikawa tofautiBora kuwahi kaka kuliko kuchelewa bt kwa jinsi PSRS nilivyowasoma hakuna usaili utaanza saa 1 pale tena kama mchujo ndo kuzidi bora hata oral
Pamoja kiongozi tutawahi sanaBora kuwai ndugu zangu, mie nishawai kukosa usaili kwa kuleta mazoea pale CIVE...usaili ulikuwa saa 1 kamili nikachukulia poa kutokana na idadi ya watu tulioitwa zaidi ya buku nikajua ukaguzi hadi kuanza itakuwa saa mbili ...daaah kumbe siku hiyo wakandaji waliwai mapema sana saa 12 tu walishatia timu pale machinjioni CIVE na mbaya zaidi wasailiwa walifika wachache tu kati ya watu 1000+ waliofika hata 50. So mie nilipofika pale ndio jamaa bado kidogo tu watoke pia sikuwa peke angu niliuechelewa tulikuwa wengi tu. So mazoea ni mabaya siku hizi mapema tu nishafika. Kilichoniumiza zaidi siku hiyo niliwai kuamka pale lodge nilipofikia ila kwakua usaili wa bunge tuliambiwa saa 3 Asubuhi ila tulifanya saa 10 kasoro jioni nikajua mambo ni yaleyale but hiyo cku ikawa tofauti
Inasikitisha sana yani unajiandaa na kitu Alafu unafika kwenye tukio unakuta wenzako ndo wanatoka Alafu inavyoonekana wadau walivyoona namba ya walioitwa ni 1000 wakawa wanakata tamaaa kuwa siendi siendi mwisho wa siku wakatimba wachache.Bora kuwai ndugu zangu, mie nishawai kukosa usaili kwa kuleta mazoea pale CIVE...usaili ulikuwa saa 1 kamili nikachukulia poa kutokana na idadi ya watu tulioitwa zaidi ya buku nikajua ukaguzi hadi kuanza itakuwa saa mbili ...daaah kumbe siku hiyo wakandaji waliwai mapema sana saa 12 tu walishatia timu pale machinjioni CIVE na mbaya zaidi wasailiwa walifika wachache tu kati ya watu 1000+ waliofika hata 50. So mie nilipofika pale ndio jamaa bado kidogo tu watoke pia sikuwa peke angu niliuechelewa tulikuwa wengi tu. So mazoea ni mabaya siku hizi mapema tu nishafika. Kilichoniumiza zaidi siku hiyo niliwai kuamka pale lodge nilipofikia ila kwakua usaili wa bunge tuliambiwa saa 3 Asubuhi ila tulifanya saa 10 kasoro jioni nikajua mambo ni yaleyale but hiyo cku ikawa tofauti
Gari kwanza Nitanunua kiwanja sehemu napaacha mpka pawe mjini ili nikistaafu nijenge au nitajenga vyumba viwili na sebure Baada ya miak mitano job then naturia tu mie Mambo ya kujenga nyumba ya milion 40 siwezi Kwa kweli 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Mzee we bado kijana sana aseeh chamuhimu usisahau Subaru nyumba itajengwa badae
Kijana wa hovyo sana Kwamba vyumba viwili hahhhh😂😂😂😂Gari kwanza Nitanunua kiwanja sehemu napaacha mpka pawe mjini ili nikistaafu nijenge au nitajenga vyumba viwili na sebure Baada ya miak mitano job then naturia tu mie Mambo ya kujenga nyumba ya milion 40 siwezi Kwa kweli 🤣🤣🤣🤣
Ndio vinatosha sana Kwa kweliKijana wa hovyo sana Kwamba vyumba viwili hahhhh😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio poa bro na life lilivyo la kifala vitoto vinakukimbiza tena kwenye interview
Mlikuwa mnapambania nafasi ngapi kwenye hiyo written uliyochelewa?Bora kuwai ndugu zangu, mie nishawai kukosa usaili kwa kuleta mazoea pale CIVE...usaili ulikuwa saa 1 kamili nikachukulia poa kutokana na idadi ya watu tulioitwa zaidi ya buku nikajua ukaguzi hadi kuanza itakuwa saa mbili ...daaah kumbe siku hiyo wakandaji waliwai mapema sana saa 12 tu walishatia timu pale machinjioni CIVE na mbaya zaidi wasailiwa walifika wachache tu kati ya watu 1000+ waliofika hata 50. So mie nilipofika pale ndio jamaa bado kidogo tu watoke pia sikuwa peke angu niliuechelewa tulikuwa wengi tu. So mazoea ni mabaya siku hizi mapema tu nishafika. Kilichoniumiza zaidi siku hiyo niliwai kuamka pale lodge nilipofikia ila kwakua usaili wa bunge tuliambiwa saa 3 Asubuhi ila tulifanya saa 10 kasoro jioni nikajua mambo ni yaleyale but hiyo cku ikawa tofauti
Tusubiri kesho aseehJumatatu inayoyoma hyooo
Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo 😂😂😂 zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyikaTusubiri kesho aseeh
Tupoooooooo''niliwasikia jana majobless wenzangu waccM wakiitikia baada ya kuulizwa na mwenyekiti waoWiki hii placement kibao December hamna ishu kama kitu nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visigezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hv mwaka wakserikali unaishiaga mwezi gani?Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23] zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika