πππππKaka usiseme hivyo sasa hii suti siitachakaa na Subaru nitanunuaje?Ngojea na wewe usubiri placement mpaka April mwakani Kama hujaomba counseling!!!!!
Zitatoka tu mzee kuliko kutokufanya kabisaUnanishauri niwe napiga interview bila placement?!!!!
Inasikitisha sana, michakato upo wazi kuanzia kuitwa, written, oral Ila ikifika placement usiri mtupu!Utumishi huwa hawatabiriki, mi nilihudhuria interview moja wale baadhi tuliokuwa tumehudhuria pamoja baadhi wameshaitwa kwa kupigiwa simu wafate barua na wanapiga kazi mpaka sasa na orodha ya kuitwa kazini haijatoka officially mpaka sasa, siku ikija kutoka unajikuta tu haupo na walioitwa ni wale waliotaarifiwa, jaribu kucheki na uliofanya nao.
Ukikata tamaa hutoboi na usahau ajira za serekaliYani ukitaka kuwaweza utumishi ondoe ile hali yakukata tamaa mbona utawatwanga utumishi mpaka uchoke
Hata wa TA si anaingia kwenye kanzidata bro ..in case ikitokea nafasi ingine ya taaluma yake anachukuliwa sio lazima kuwa TASubiri pdf mzee acha presha kwani ilikuwa Post ya TA??
Sema hapa ndo utumishi wanapozingua sanaInasikitisha sana, michakato upo wazi kuanzia kuitwa, written, oral Ila ikifika placement usiri mtupu!
TA zenyewe zintoka mara 1 kwa mwaka atsbri sana hizo kz hadimu sanaHata wa TA si anaingia kwenye kanzidata bro ..in case ikitokea nafasi ingine ya taaluma yake anachukuliwa sio lazima kuwa TA
MCHAKATO WA AJIRA UPO WAZI KUANZIA KUITWA, WRITTEN, ORAL THEN IKIFIKA PLACEMENT GIZA TUPU
Nasemea kupata post ingine nasio TA ,,ila kama oral alifanya ya TA si inaruhusu kupata zingine za taaluma yako mfano kupata AccountTA zenyewe zintoka mara 1 kwa mwaka atsbri sana hizo kz hadimu sana
Ndio mkuu nimezeeka Sasa umri wa kustaafu huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππKaka umeshituka kweli kweli hahhhYani nilivyoisoma comment ya kumaliza form four 2013 nimeshtuka sana Mkuu, kumbe Jf kuna wadogo zetu mko wengi sana.
Humu mtashangaa siku zinaenda halafu kimya, mwenye hii post 'kwanini wanatumia mda mrefu kuita watu kazini' ana logicAisee ndio maana jobless akiona pdf hata kama hayumo si anajua mwingine kapata yy kamanda anajipanga na received zingine,lkn kutokuona anabaki akijipa matumaini huenda matokeo bado kumbe ngoma tayari ,,psrp ingekuwa panctual na kutoa pdf kusingekuwa na malalamiko kabisa
Sema hii mambo inaumiza sana mimi ndugu zangu wanaonaga labda siendagi kwenye interview maana kila siku unawajibu kuwa majibu badoHumu mtashangaa siku zinaenda halafu kimya, mwenye hii post 'kwanini wanatumia mda mrefu kuita watu kazini' ana logic
Aisee ni kweli ,,π€π€Humu mtashangaa siku zinaenda halafu kimya, mwenye hii post 'kwanini wanatumia mda mrefu kuita watu kazini' ana logic
ππππKwanza picha linaanza status tu ile unakuwa haieleweki mamaeeeeMCHAKATO WA AJIRA UPO WAZI KUANZIA KUITWA, WRITTEN, ORAL THEN IKIFIKA PLACEMENT GIZA TUPU
π€£π€£Unabaki kusema ngoja niangalie jinsi England anavyomkanda Iran tuuππππKwanza picha linaanza status tu ile unakuwa haieleweki mamaeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka umeshituka kweli kweli hahhh
Kuna watoto wengi ndio maana hata baadhi ya mijadala unaona kabisa unadeal na immature people.Yani Mkuu, acha kabisa. Nitapunguza hata userious endapo mivutano ya hoja ikitokea.
Unaweza ukabishana kitu na dogo ambaye kama mngeonana uso kwa uso angekuogopa na asingeongea kitu zaidi ya kutingisha kichwa kukubali.
Lakini kwenye hizi ID fake, unaweza kuta kuna wazazi wetu hawatafuti kazi ila wapo kwenye huu uzi kutoa kampani.
Inawezekana watu wanaofungua nyuzi za hovyo kila kukicha na kukomenti majibu ya aibu kwenye nyuzi tofauti tofauti, kumbe ni Baba au Mama zetu aisee.
Kama umri mkuu unapimwa Kwa mwaka wa kumaliza shule sawa mie mdogo ila ni kama umri unapimwa Kwa mwaka wa kuzaliwa basi mie nakaribia kustaafu Sasa mkuuπ€£π€£Yani nilivyoisoma comment ya kumaliza form four 2013 nimeshtuka sana Mkuu, kumbe Jf kuna wadogo zetu mko wengi sana.