[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa hovyo hawatuliagi na utelezi mmoja
Sawa mkuu haikuwa riziki yako1 tu, ila si unajua mpango ni kubaki kanzi data
Ss target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...πππ1 tu, ila si unajua mpango ni kubaki kanzi data
Umesema kweliSs target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...πππ
Inasikitisha sana, michakato upo wazi kuanzia kuitwa, written, oral Ila ikifika placement usiri mtupu!
Na ndio wanatukimbiza kwenye written huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aisee ndio maana jobless akiona pdf hata kama hayumo si anajua mwingine kapata yy kamanda anajipanga na received zingine,lkn kutokuona anabaki akijipa matumaini huenda matokeo bado kumbe ngoma tayari ,,psrp ingekuwa panctual na kutoa pdf kusingekuwa na malalamiko kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malegend tuna vyeti virefu vilivyoandikwa na mashine ya kuchapa herufi moja moja halafu kikasainiwa kwa mkono.
Ile mashine ina keyboard ambapo kila herufi ipo kwenye mshale/pointer, ukiigusa herufi Pointer inaruka kugonga karatasi na kuacha herufi.
95 ni mtu mzima huyu mkuu,Hahahaha sio mkubwa sana bado ni Millennial ila tunabishana sana humu na watoto 1995+
Ni mkubwa mwenzetu kiumri ila kiakili mtu wa miaka 25/26 wa miaka kadhaa iliyopita sio sawa na wa sasa katika hekima na busara95 ni mtu mzima huyu mkuu,
Ni mkubwa mwenzetu kiumri ila kiakili mtu wa miaka 25/26 wa miaka kadhaa iliyopita sio sawa na wa sasa katika hekima na busara
ππππKaka unatusema na shortlisted unatutishia amani hahhhSs target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...πππ
Hahahaha wewe placement hata huna shida nazo tumia tu hizo dakika kumpigia HR wa VETA akuite kuanza kazi tarehe 1 December [emoji23][emoji23]Voda Wana akili sana eti wamenipa mb 200 na nilikua Sina mb huwa natumia Airtel siku zote nashangaa napata sms una mb 200 na dakika 15
Basi Leo placement zinakuja
Ingawa sio wote kuna baadhi ya madogo ni 20 years lakini akili imekomaa tayari, I think kiasi fulani inategemea na malezisasa hapa inabidi tujiulize shida iko wapi? maana kama huyu kijana ana akili ndogo atawezaje kuvuka viunzi vya maisha?
ππππHahahaha wewe placement hata huna shida nazo tumia tu hizo dakika kumpigia HR wa VETA akuite kuanza kazi tarehe 1 December [emoji23][emoji23]
Mkuu mie naenjoy sana kuona placement na call for interview sijui kwann nimekua addicted na hii website ya AjiraHahahaha wewe placement hata huna shida nazo tumia tu hizo dakika kumpigia HR wa VETA akuite kuanza kazi tarehe 1 December [emoji23][emoji23]
ππππWameona hauitumii ndo maana wmekupaVoda Wana akili sana eti wamenipa mb 200 na nilikua Sina mb huwa natumia Airtel siku zote nashangaa napata sms una mb 200 na dakika 15
Basi Leo placement zinakuja