Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

1 tu, ila si unajua mpango ni kubaki kanzi data
Ss target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...😂😂😂
 
Umesema kweli
 
Aisee ndio maana jobless akiona pdf hata kama hayumo si anajua mwingine kapata yy kamanda anajipanga na received zingine,lkn kutokuona anabaki akijipa matumaini huenda matokeo bado kumbe ngoma tayari ,,psrp ingekuwa panctual na kutoa pdf kusingekuwa na malalamiko kabisa

wangetupa hata sababu kwa nini hizo placement zinachelewa sana!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Malegend tuna vyeti virefu vilivyoandikwa na mashine ya kuchapa herufi moja moja halafu kikasainiwa kwa mkono.

Ile mashine ina keyboard ambapo kila herufi ipo kwenye mshale/pointer, ukiigusa herufi Pointer inaruka kugonga karatasi na kuacha herufi.

Hahaha!
 
Ss target ya kwanza ni kupata sio kuingia kanzidata so unajitahidi sana ikitokea umekosa basi ndio ujue kuingia kweny kanzidata, napia utambue kweny kanzidata unatakiwa uwe umefanya vzr zaid ili ikitokea NAFASI yoyote ,iwe rahisi kupata Maana nafas ikitokea lazima kuangalia mwenye UFAULU wa juu ...kwa hyo ukifanikiwa kwenda oral nenda kapambane sana ,,labda itokee uchengane na maswali yao wakandaji .....NAWASALIMU KWA JINA LA RECEIVED NA SHORTLISTED...😂😂😂
😂😂😂😂Kaka unatusema na shortlisted unatutishia amani hahhh
 
Back
Top Bottom