Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwenye simu yangu nikibonyeza tangazo inanipa option ya kupakua ndipo nisomeKwakweli pongezi yani hata nusu saaa hsikuisha washapakua watu [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye simu yangu nikibonyeza tangazo inanipa option ya kupakua ndipo nisomeKwakweli pongezi yani hata nusu saaa hsikuisha washapakua watu [emoji23][emoji23]
Mie ningewapa tu placement zote huwa nadowload chapu ila call for interview naangalia niliyoapply naish nayo Kama hapa ninayo niliyoapply tuSipati picha ingekuwa ni placement wameweka halafu wakatoa sahizi watu wangekuwa wanangaika kwa waliopakua fasta
Ni taasisi zipi wameshortlist maana mm sioni mpya zaidi ile ya janaMimi ninazo PDF 2
Hahahahaa, sio hivyo tu tena roho zingekuwa zinaenda mbio hatariSipati picha ingekuwa ni placement wameweka halafu wakatoa sahizi watu wangekuwa wanangaika kwa waliopakua fasta
Hizo hapo, mzigo una page 628Ni taasisi zipi wameshortlist maana mm sioni mpya zaidi ile ya jana
Mkuu, mkeka wa Matokeo ya Bunge hukuwahi kupakuwa..? Si wamesema wakiweka pia..?Hii ndo ninayo
Hapa nimetemwa aisee, ngoja nisubiri sababu yakeHii ndo ninayo
Noma mkuu itakua Kuna labda cheti inatakiwa uwe nacho mie Kuna kazi niliapply zilikua za tpa Kama sikosei walitaka security officer nikaapply kumbe na ikakubali kumbe tofauti na elimu wanataka na cheti cha mafunzo ya ulinzi so wakaniambia SI ja attach national service, military training au prison certificateHapa nimetemwa aisee, ngoja nisubiri sababu yake
Ya bunge yaliyowekwa ni haya tu.Mkuu, mkeka wa Matokeo ya Bunge hukuwahi kupakuwa..? Si wamesema wakiweka pia..?
Kwenye vyeti sina tatizo kabisa na hiyo nafasi haiihitaji cheti cha nyongeza, nimeitwa sahili 3 hadi sasa ambapo moja nimefanya written jana kwa hizo hizo nyaraka.Noma mkuu itakua Kuna labda cheti inatakiwa uwe nacho mie Kuna kazi niliapply zilikua za tpa Kama sikosei walitaka security officer nikaapply kumbe na ikakubali kumbe tofauti na elimu wanataka na cheti cha mafunzo ya ulinzi so wakaniambia SI ja attach national service, military training au prison certificate
kati ya hizo lazima mojawapo utaibuka mshindiKwenye vyeti sina tatizo kabisa na hiyo nafasi haiihitaji cheti cha nyongeza, nimeitwa sahili 3 hadi sasa ambapo moja nimefanya written jana kwa hizo hizo nyaraka.
Hata hivyo nitakubali tu wakinitema maana tarehe waliyoipanga nina sahili nyingine tarehe hiyo hiyo
Bado na NAOT, Wizara ya mambo ya njeKwa hizi pdf ninazoziona hapa kwenye tovuti ya PSRS.. basi nachelea Kusema mpaka kuishi saili za hizi Shortlisted watakuwa wametafuna ½ na ⅓ ya kazizote zilizotangazwa Hadi Sasa,
Urgently naona zimebaki taasisi zifuatazo.
USDM,, Lectures & Tutorials and
Technicians
SUA,, Technicians
MDA's & LGA's,, Mkeka wa Taifa
TRA,, Mkeka wa Taifa
WIZARA YA KILIMO,, Mkeka wa Taifa
UDOM,, Lectures & Tutorials.
LITA,TARILI,, Technicians.
Kama nimeacha basi ni Taasisi chache
Ahsante kwa kunitia moyokati ya hizo lazima mojawapo utaibuka mshindi
NdioKuna ambayo ulishawahi kuitwa..?