Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sipati picha ingekuwa ni placement wameweka halafu wakatoa sahizi watu wangekuwa wanangaika kwa waliopakua fasta
 
Mie ningewapa tu placement zote huwa nadowload chapu ila call for interview naangalia niliyoapply naish nayo Kama hapa ninayo niliyoapply tu
 
Sipati picha ingekuwa ni placement wameweka halafu wakatoa sahizi watu wangekuwa wanangaika kwa waliopakua fasta
Hahahahaa, sio hivyo tu tena roho zingekuwa zinaenda mbio hatari
 
Ni taasisi zipi wameshortlist maana mm sioni mpya zaidi ile ya jana
Hizo hapo, mzigo una page 628
Screenshot_20220907-144317.jpg
 
Hapa nimetemwa aisee, ngoja nisubiri sababu yake
Noma mkuu itakua Kuna labda cheti inatakiwa uwe nacho mie Kuna kazi niliapply zilikua za tpa Kama sikosei walitaka security officer nikaapply kumbe na ikakubali kumbe tofauti na elimu wanataka na cheti cha mafunzo ya ulinzi so wakaniambia SI ja attach national service, military training au prison certificate
 
Muhimbili wametoa tena shortlist hakiyakuwa tuliopiga nao oral bado placement,,,Juuu kwa juu
 
Noma mkuu itakua Kuna labda cheti inatakiwa uwe nacho mie Kuna kazi niliapply zilikua za tpa Kama sikosei walitaka security officer nikaapply kumbe na ikakubali kumbe tofauti na elimu wanataka na cheti cha mafunzo ya ulinzi so wakaniambia SI ja attach national service, military training au prison certificate
Kwenye vyeti sina tatizo kabisa na hiyo nafasi haiihitaji cheti cha nyongeza, nimeitwa sahili 3 hadi sasa ambapo moja nimefanya written jana kwa hizo hizo nyaraka.

Hata hivyo nitakubali tu wakinitema maana tarehe waliyoipanga nina sahili nyingine tarehe hiyo hiyo
 
kati ya hizo lazima mojawapo utaibuka mshindi
 
Kwa hizi pdf ninazoziona hapa kwenye tovuti ya PSRS.. basi nachelea Kusema mpaka kuishi saili za hizi Shortlisted watakuwa wametafuna ½ na ⅓ ya kazizote zilizotangazwa Hadi Sasa,
Urgently naona zimebaki taasisi zifuatazo.
USDM,, Lectures & Tutorials and
Technicians
SUA,, Technicians
MDA's & LGA's,, Mkeka wa Taifa
TRA,, Mkeka wa Taifa
WIZARA YA KILIMO,, Mkeka wa Taifa
UDOM,, Lectures & Tutorials.
LITA,TARILI,, Technicians.

Kama nimeacha basi ni Taasisi chache
 
Bado na NAOT, Wizara ya mambo ya nje
 
Back
Top Bottom