Uzi unakimbia sanaUzi umepata umaarufu mkubwa
Kwani Toyota Alphard haina wadau?😂😂😂😂Subaru Forester ndo kali mzee kudadeki upo ndani ya Subaru afu manzi yupo pembeni tunaitaga kimwazi kipo pembeni daaah duniani raha jamani
Unaweza kuta aliyeanzisha bado hajapata mchongoUzi unakimbia sana
Walimpiga ban sababu ya huu UziUnaweza kuta aliyeanzisha bado hajapata mchongo
Gari ya familia hiyo kubwa sana mkuu kama una mke na watoto sawaKwani Toyota Alphard haina wadau?
1M Ni ndogo Sana baada ya makato unajikuta 700k au Kama una mkopo unapata mpaka 600k na vipointi yaani unajikuta una hela za kuunga ungaYes ndio ilivyo sasa hivi unaona 1M kwa mwezi kubwa ila ukianza ipata ndio unajua hamna kitu.
By the way Lijendi uzi wako ule siku hizi kama umepoa hivi. Au ni sababu ya WC na mgao?
Hahahaaa.Mwanangu Mwifwa nazan umetegesha sikio vzr la RECEIVED NA SHORTLISTED,na la KOMBE LA DUNIA [emoji23][emoji23]
Nakubaliana na wewe, kipindi nipo mdogo, watu waliokuwa na umri huo walikuwa ni watu wazima kweli kibusara na kiakiliNi mkubwa mwenzetu kiumri ila kiakili mtu wa miaka 25/26 wa miaka kadhaa iliyopita sio sawa na wa sasa katika hekima na busara
Watu wasiri sanaKumbe tume ya madini iliita na hamsem
So poa🥲,basi me nimekaa najua chochote kinachotupiwaga kule lazima na humu wadau tuta updatiana kumbe duh usimwamshe alielala.Watu wasiri sana
Mimi pia walinipa siku chache zilizopita, sikujua maana sikupokea sms ila nikaja kujua ambapo nilikuwa naangalia salio kwani nilitaka nitumie NMB mobile maana bila kuwa na salio la kawaida huwezi kuitumia.Voda Wana akili sana eti wamenipa mb 200 na nilikua Sina mb huwa natumia Airtel siku zote nashangaa napata sms una mb 200 na dakika 15
Basi Leo placement zinakuja
Noma sana mkuu kutoboa hapo inahitaji heshima na nidhamu ya hali ya juu sana Kwa sie tusiokuwa na wakutugemea wengi unaweza pambana usave 400k kila mwezi ila utachakaa sana nakuambia1M Ni ndogo Sana baada ya makato unajikuta 700k au Kama una mkopo unapata mpaka 600k na vipointi yaani unajikuta una hela za kuunga unga
Mie sms sikuisikia imeingia kimya kimya naenda kwenye sms ndo naiona nikasema Asante sanaMimi pia walinipa siku chache zilizopita, sikujua maana sikupokea sms ila nikaja kujua ambapo nilikuwa naangalia salio kwani nilitaka nitumie NMB mobile maana bila kuwa na salio la kawaida huwezi kuitumia.
Baada yakubonyeza menu nikalezewa sms ikisema sina salio la kawaida ila Mb, dk na sms zikawa zipo.
Nikajisemea kumbe mara nyingine huwa wanawajali Jobless, nikaanza kuzitumia, ziliiexpire baada ya siku kama 5 hivi
Sijajua labda Baada mwaka ngoja waje wanaojua watujuzeHivi wakuu nikishapata Ajira baada ya muda gani naweza kuchukua mkopo, nivute ndinga.
Wanasema ukitaka jambo likutokee anza kabisa kulipangia mahesabu.
Mimi sijapata ajira ila nimeshaanza kuweka mipango.
Siyo kweli kaka,hapo riba asilimia ngapi? Aliyekopa million 100 arudishe 200?!Sijajua labda Baada mwaka ngoja waje wanaojua watujuze
NB: ila mie sikopi Kwa kweli maana Kwa mahesabu ukikopa 10m nasikia ulipa pamoja na riba ambayo ni karibu sawa na Hela uliyokopa unaweza ulipe 20m
Sema ukweli unaoujua mkuu? ila amini nachokuambia nimefanya research za kimchongo nyingi sana🤣 kuhusu mshahara,makato sijui ya bima,Paye,psssf,Cwt na hayo ya kuhusu mkopo mkuu ila uhakika Zaid riba inazidi nusu ya Hela uliyokopa ukubali au ukataeSiyo kweli kaka,hapo riba asilimia ngapi? Aliyekopa million 100 arudishe 200?!
Hahahahaa, huo ni ukweli aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameona hauitumii ndo maana wmekupa
Ulipe madeni kwanza kabla hujanunua Subaru[emoji3][emoji3][emoji3]Situ
Situmii mkuu Kwa sababu wananitadi elfu tano mia Saba sijui nitalipa lini