Jamaa wanabadili status hukooNaam
Naona ipo hvyoNaam
AiseeJamaa wanabadili status hukoo
Mkuu,, hebu nawa maji uende ukatafute hela.. hayo mambo waachie wenyewe kama ridhiki yako utapata tu🤔🤔Mpaka app nayo imezingua leo
AfutatuMkuu,, hebu nawa maji uende ukatafute hela.. hayo mambo waachie wenyewe kama ridhiki yako utapata tu🤔🤔
Kila mda status, hyo kazi uliyoomba inamshahara gani..?
😂😂😂😂Baba jeni bye bye mwendo umeumaliza KakaJamaa wanabadili status hukoo
Afutatu na mia Kenda😂😂Afutatu
Ngoja tusubiri anaweza kutulaza vizuri j5 hiiJumanne ya Leo haijakaa sawa
Niliona clip waSaudi wanashangilia kama Ronaldo, ile ya kuruka juu na kutua kikakamavu, nilicheka sana.Jumanne ya leo jau sana yan mbaya zaid Argentina kasepa na pesa yangu
Najua ushapata muongozo ilana mimi nakazia.Naomba ratiba ya bus pa Dar to Dodoma, la ijumaa na la bei rahisi linaloondoka Saa 12 jioni kwenda dodoma na bei yake wadau. Maana sina kitu na nataka kufika usiku, asubuhi nikakandwe.
[emoji38][emoji38][emoji38]Afutatu
We kadada nakuja pm Hilo tabasamu limenimalizaaaaa😂😂😂😂[emoji38][emoji38][emoji38]
Nashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.Najua ushapata muongozo ilana mimi nakazia.
Bus za Dom zinazoondoka hadi mida ya mchana ni Shabiby, ABC, Chiloha, Dolphin, Kamwana.
Shabiby na ABC, nauli ya chini ni 25k, kupata tiketi zao nenda mapema(siku moja kabla ni vizuri zaidi)
Chiloha, Dolphin, Kamwana nauli zao ni 25K, siku hiyo hiyo unapata tiketi zao.
Shabiby, ABC mwisho wa kuondoka ni saa 8 hadi 9 mchana, zingine hadi saa 12 zinaondoka ila inategemeana na gari ikijaa, ikijaa mapema linasepa mapema.
Kila la kheri mkuu
Niache nisome mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]We kadada nakuja pm Hilo tabasamu limenimalizaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapiga pepa jmosi?Niache nisome mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hilo sio basi mzee fika mapema itakusaidia kiongoziNashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.
Bado hata kuitwaUnapiga pepa jmosi?
Uzinzi huo Mungu atakuachaWe kadada nakuja pm Hilo tabasamu limenimalizaaaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Kaka kwahiyo nikose kazi na utelezi nikose pia?daaah kweli jobless hathaminiki hahhhhUzinzi huo Mungu atakuacha