Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Tafuta eraaa muraπ€£πππππKaka kwahiyo nikose kazi na utelezi nikose pia?daaah kweli jobless hathaminiki hahhhh
,ππππHata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??Tafuta eraaa muraπ€£
ππππ Wazee ya waliyomo yamoJamaa wanafanya siri mpaka status
Utelezi anastahili jobless mwenye Subaru ππ,ππππHata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??
Utapewa jicho uanze kulaanika ukose kazi,ππππHata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??
,ππππUtapewa jicho uanze kulaanika ukose kazi
Sawa mkuu, fuatiliaNashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.
Labda watatoa la kufungia mwakaπππPSRS wangetoa placement ndefu tufungie nayo mwaka.
Sogea mbezi magufuli saa 12 jioniNashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.
Inakuja muandae suti za kuchukulia baruaLabda watatoa la kufungia mwakaπππ
ππππWiki ijayo uhakikaInakuja muandae suti za kuchukulia barua
Watatoa lini mkuuNimetonywa kidogo placement ijayo taasisi kama zote watapandisha tu
Ilitakiwa week hii isiishe ila ngoja tuone kitia watatoa tuWa
Watatoa lini mkuu
daaah watoe tu maana mambo sio mambo mtaani tunawasalimia kwa upole sana wenye pesaIlitakiwa week hii isiishe ila ngoja tuone kitia watatoa tu
Afutatu na mia Kendaππ
Miezi miwili baadaye ndiyo placement inatokadaaah watoe tu maana mambo sio mambo mtaani tunawasalimia kwa upole sana wenye pesa
Hakuna kitu kama hicho8
Miezi miwili baadaye ndiyo placement inatoka
PSRS , wasaidieni vijana hizo placement na TRA waiteni vijana wapunguze msogo wa mawazoHakuna kitu kama hicho
Kweli ngoja waje watatoa tu nafikiri zile za TRA zitatoka sio mudaPSRS , wasaidieni vijana hizo placement na TRA waiteni vijana wapunguze msogo wa mawazo