Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Tafuta eraaa mura🤣😂😂😂😂😂Kaka kwahiyo nikose kazi na utelezi nikose pia?daaah kweli jobless hathaminiki hahhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta eraaa mura🤣😂😂😂😂😂Kaka kwahiyo nikose kazi na utelezi nikose pia?daaah kweli jobless hathaminiki hahhhh
,😂😂😂😂Hata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??Tafuta eraaa mura🤣
😂😂😀😀 Wazee ya waliyomo yamoJamaa wanafanya siri mpaka status
Utelezi anastahili jobless mwenye Subaru 😂😂,😂😂😂😂Hata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??
Utapewa jicho uanze kulaanika ukose kazi,😂😂😂😂Hata kama natafuta hela ndo nisipewe utelezi sasa??
,😂😂😂😂Utapewa jicho uanze kulaanika ukose kazi
Sawa mkuu, fuatiliaNashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.
Labda watatoa la kufungia mwaka😂😂😂PSRS wangetoa placement ndefu tufungie nayo mwaka.
Sogea mbezi magufuli saa 12 jioniNashukuru sana kwa taarifa, pia kuna mdau humu alisema kuna ma -bus ya elf 18, yanafika Dom Saa 8 usiku. Ningepata hayo pia ningeshukuru, maana uchumi haueleweki.
Inakuja muandae suti za kuchukulia baruaLabda watatoa la kufungia mwaka😂😂😂
😂😂😂😂Wiki ijayo uhakikaInakuja muandae suti za kuchukulia barua
Watatoa lini mkuuNimetonywa kidogo placement ijayo taasisi kama zote watapandisha tu
Ilitakiwa week hii isiishe ila ngoja tuone kitia watatoa tuWa
Watatoa lini mkuu
daaah watoe tu maana mambo sio mambo mtaani tunawasalimia kwa upole sana wenye pesaIlitakiwa week hii isiishe ila ngoja tuone kitia watatoa tu
Afutatu na mia Kenda😂😂
Miezi miwili baadaye ndiyo placement inatokadaaah watoe tu maana mambo sio mambo mtaani tunawasalimia kwa upole sana wenye pesa
Hakuna kitu kama hicho8
Miezi miwili baadaye ndiyo placement inatoka
PSRS , wasaidieni vijana hizo placement na TRA waiteni vijana wapunguze msogo wa mawazoHakuna kitu kama hicho
Kweli ngoja waje watatoa tu nafikiri zile za TRA zitatoka sio mudaPSRS , wasaidieni vijana hizo placement na TRA waiteni vijana wapunguze msogo wa mawazo