ππππ Prok jina la kiume sana aseeh sikudhania hata huyu goat y aseeh wawe wanajitambulisha basi tuishi nao wajue hata jobless ana haki yakupata utelezi piaMzee mwenyewe wa kunyatia naona wanakuchanganya sana na ID zao.
Prok alitusapraizi naona na huyu atatusapraizi pia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda saa 12 mzee utumishi hawanaga unduguKwenye account saa 1:00 asubah, kweny Pdf saa 4:00 kamil
Nenda before saa Moja,kuwah napo ni part of interview,Bora uwah usubiri kuliko uchelews ukute watu wameshaanzaKwenye account saa 1:00 asubah, kweny Pdf saa 4:00 kamil
Ni kawaida inategemeana panel inainterview watu wa kada ngapiThough last time walituandikia oral interview ni saa moja asubuhi ila mimi niliingia saa moja jioni na tulikuwa watu wanne tu kwenye hio post
Yes inabidi uwepo tu kwenye mazingiraNi kawaida inategemeana panel inainterview watu wa kada ngapi
Fuata ya kwenye Akaunti, utanishukuru baadaeKwenye account saa 1:00 asubah, kweny Pdf saa 4:00 kamil
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Prok jina la kiume sana aseeh sikudhania hata huyu goat y aseeh wawe wanajitambulisha basi tuishi nao wajue hata jobless ana haki yakupata utelezi pia
Miezi 7 hata muda wa kanzidata usha expireHaiwezi kufika January kweli make kuna mtu anasema amesubili miezi saba!
database inahesabika baada ya placementMiezi 7 hata muda wa kanzidata usha expire
Kama usaili ni asubuhi wewe fika eneo husika saa 1 kamili.Niaje, hivi kwenye account yangu wameendaka muda mwingine wa kufanya interview na pia kweny pdf muda tofauti, je upi ndo wa kuutukia maanani! Na pia wakiandika saa 1 kamili asubaha wanaamaanisha kweli au Niaje!?
Hio ingesaidia sana sio hii unasubili kibubu unasubili miezi minne unajipa moyo kumbe ushakandwa siku ile ile.Utumishi wangekua tu open kwenye interview za oral kama vike written wamukee mtu marks alizopata kweny acc yake...na kama yupo database ajue t
wakati huo huo unaendelea na issue nyingine kama zipoMe nilisemaa mchakato wa kusubir placement sio poa, yaan uwe mpole kweli
Yani wakishaselect kuwa huyu ndo kapita wengine waliofaulu watawekwa database lakini ile miezi sita inaanza kuhesabika baada ya pdf kutoka sio kuanzia pale mlipofanya oralKwahyo mwanangu wizy ka placement Bado kanzidata inakuwa Bado haijaanza kuhesabika sio ??? Na je ka watu walipigiwaga simu mtu atajuaje ss...NIELEWESHE KIDOGO