Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mzee mwenyewe wa kunyatia naona wanakuchanganya sana na ID zao.

Prok alitusapraizi naona na huyu atatusapraizi pia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂 Prok jina la kiume sana aseeh sikudhania hata huyu goat y aseeh wawe wanajitambulisha basi tuishi nao wajue hata jobless ana haki yakupata utelezi pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Prok jina la kiume sana aseeh sikudhania hata huyu goat y aseeh wawe wanajitambulisha basi tuishi nao wajue hata jobless ana haki yakupata utelezi pia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jobless ana haki ila sio lazima atendewe hiyo haki
 
Kwahyo mwanangu wizy ka placement Bado kanzidata inakuwa Bado haijaanza kuhesabika sio ??? Na je ka watu walipigiwaga simu mtu atajuaje ss...NIELEWESHE KIDOGO
Yani wakishaselect kuwa huyu ndo kapita wengine waliofaulu watawekwa database lakini ile miezi sita inaanza kuhesabika baada ya pdf kutoka sio kuanzia pale mlipofanya oral
 
Back
Top Bottom