ππππsema hizi status hazina maana mzee tuishi kwa matumainiKwenye app je?! π π π€£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππsema hizi status hazina maana mzee tuishi kwa matumainiKwenye app je?! π π π€£
Hiyo selected for oral intervw no...kuna mtu kapta kz na alisema na ana hiyo status...ndo mana tunasema hazna maana hizoππππsema hizi status hazina maana mzee tuishi kwa matumaini
Na hakuna SHORTLISTED au sio kuna SELECTED FOR ORAL nabado tumekandwa ...tufufue mambo za status et eeh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] tujadili vzr hapa au tuache hazina uhusiano nn[emoji23][emoji23][emoji23].. mwanangu wizy tutirilike bas na status [emoji23][emoji23]Hakuna data base mkuu hapo maana hata Mimi Kuna moja nilikosa mwaka jana mwaka huu wakatoa nafasi wakaitwa wengine yangu ipo selected for oral muda wote
Ukishapata ndo zinakuwa hazina maana lakini kabla hujapata Zina maana yake lakini hiyo maana yake ndo hatujui mzee lakini haziwezi kukosa maana ile ni system kiongoziHiyo selected for oral intervw no...kuna mtu kapta kz na alisema na ana hiyo status...ndo mana tunasema hazna maana hizo
Yaani IT wa psrp ndio anajua ukwel wote yaani ,,ila kala zake buyu tu anawaangalia mnavyo angaika na status zenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema hizi status hazina maana mzee tuishi kwa matumaini
Hupo sahihi wizy ...sema hapa sie ndo atujui tu ipoje mazeeUkishapata ndo zinakuwa hazina maana lakini kabla hujapata Zina maana yake lakini hiyo maana yake ndo hatujui mzee lakini haziwezi kukosa maana ile ni system kiongozi
ππππYes IT ndo anajua Zina maana gani kwasababu unapo programme system kila kitu kina maana hata mkato tu kwahiyo kusema hazina maana hapo tunajidanganya wenyewe ,zile Zina maana yake sema sisi ndo hatujui hiyo maanaYaani IT wa psrp ndio anajua ukwel wote yaani ,,ila kala zake buyu tu anawaangalia mnavyo angaika na status zenu [emoji23][emoji23]
Yes yes kuna siku jamaa alinijibu humu nafikiri atakuwa anahusika na utumishi alieleza vizuri tu kuwa hizi status Zina maana kwa yule user wa system ndo anajua Aliandika vile anamaanisha niniHupo sahihi wizy ...sema hapa sie ndo atujui tu ipoje mazee
Oral lazima wawepo wa kushindwanishwa kk ikitokea Upo peke Ako oral , ukikosa ngoma inakuwa re-advertised ,ili apatikane mtuKamaa oral ulifanya peke ako hapo kwani wata kushortlist?!!!
ππππUnaweza fanya pekeako na ukafeli vizuri tu mkuuKamaa oral ulifanya peke ako hapo kwani wata kushortlist?!!!
Utumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza fanya pekeako na ukafeli vizuri tu mkuu
ππππUzuri mimi status zote nshazipitia nikaziona mzee sijui not selected nnazo selected for , selected for oral , shortlisted, mpaka shortlisted for written zipo na zipo ambazo sikufanyaNa hakuna SHORTLISTED au sio kuna SELECTED FOR ORAL nabado tumekandwa ...tufufue mambo za status et eeh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] tujadili vzr hapa au tuache hazina uhusiano nn[emoji23][emoji23][emoji23].. mwanangu wizy tutirilike bas na status [emoji23][emoji23]
ππππHahhhh wapo serious na kazi yao mkuuUtumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi
Statu hazina maana sana ila Kamwe huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri mimi status zote nshazipitia nikaziona mzee sijui not selected nnazo selected for , selected for oral , shortlisted, mpaka shortlisted for written zipo na zipo ambazo sikufanya
Ukitaka kujiuliza Kwamba hizi status hazina maana au vipi Kuna zile ambazo hukwenda kufanya hizo hazibadilikagi hata kidogo hubaki vile vile ,sasa je hujiulizi kwanini hizo zisiandike shortlisted??kama status haina maana basi zijiandike na hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wakuichakata kimasihara πππππ we subiri mwaka huu tutapata kazi kimasihara mzeeUtumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi
Wajinga tuu ukiwaangalia watu wenyewe walala hoi kama sisi tu ambao hatuna ajira[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh wapo serious na kazi yao mkuu
Mie mweyw nakumbuka na kuna jamaa mmoja alitoaga ka ufafanuzi kuhusiana na status ,,Yes yes kuna siku jamaa alinijibu humu nafikiri atakuwa anahusika na utumishi alieleza vizuri tu kuwa hizi status Zina maana kwa yule user wa system ndo anajua Aliandika vile anamaanisha nini
Maana kweny plcementUkishapata ndo zinakuwa hazina maana lakini kabla hujapata Zina maana yake lakini hiyo maana yake ndo hatujui mzee lakini haziwezi kukosa maana ile ni system kiongozi