Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Statu hazina maana sana ila Kamwe huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa[emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa kama hazina maana kwanini wasikuandikie selecy for oral hata kama umefeli😂😂😂😂 Yani status Zina maana lakini ile maana after oral ndo hatujui ndo maana hata kwenye pdf hatujui kama upo au vipi na hiyo maana ya hzo status hawawezi kutuambia hata siku moja kama ilivyo kwenye marks za oral ni sawa na status wao ndo wanajua maana yake
 
Yes yule jamaa anaitwa @Bkwepu sijui
Eeh kitu ka hicho na jamaa mwingine pia alijaribugu kutoa ufafanuzi wake ,sijui alitoa wap Maana hatufahamini humu ndani ...
Screenshot_20221124-203226.jpg
 
Eeh kitu ka hicho na jamaa mwingine pia alijaribugu kutoa ufafanuzi wake ,sijui alitoa wap Maana hatufahamini humu ndani ...View attachment 2426513
Aliyejibu hii comment yule ni utumishi mzee ukitaka kuwajua hawa wakikuta mnalumbana sana wanatoa jibu moja tu afu wanapotea mazima hawatoi jibu lingine Tena ili kama utaendelea kubisha we bisha tu lakini jibu kakupa na wengi wao wanakuwa new member
N.B hako kautafiti kangu pekeangu😂😂😂
 
N.B hako kautafiti kangu pekeangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?
 
PSRS wangetoa placement ndefu tufungie nayo mwaka
Utumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi
Ni kweli kabsa kuna mwamba alijikuta kapita kwenye post moja pekee yake akarudi mtaani mahesabu kibao kiwanja, gar kumbe looh hakufikisha passmark ya utumishi zile ndoto zikafifia kama moto wa kibatari,,,,jamaa ali relax san kuon post yupo pke aje kumbe tumishi hawaangalii hlo kma hujafikish wana re-advertise,,,,,,na jamaa alipokuja kuvunjwa moyo ni pale kazi ilelw ilipokunq kuwa re advertised
 
Unahakika gn ni
Aliyejibu hii comment yule ni utumishi mzee ukitaka kuwajua hawa wakikuta mnalumbana sana wanatoa jibu moja tu afu wanapotea mazima hawatoi jibu lingine Tena ili kama utaendelea kubisha we bisha tu lakini jibu kakupa na wengi wao wanakuwa new member
N.B hako kautafiti kangu pekeangu😂😂😂
Mtu wautumishi 🤣🤣
 
Yule jamaaa ni jobless tu wa mda mrefu so anauzoefu na kukandwa mpka kashajua baadhi ya utaratibu ni kama wewe now Mtu akikuomba ufafanuzi hakujui kuwa jobless ataenda kuwaambia watu nimepata taarifa nyeti Toka Kwa MTU wa utumishi 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama hazina maana kwanini wasikuandikie selecy for oral hata kama umefeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani status Zina maana lakini ile maana after oral ndo hatujui ndo maana hata kwenye pdf hatujui kama upo au vipi na hiyo maana ya hzo status hawawezi kutuambia hata siku moja kama ilivyo kwenye marks za oral ni sawa na status wao ndo wanajua maana yake
Hazina maana ndo maana huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa.. Ukishakuwa selected unaachana nayo itabadilika inavyoweza ila kamwe haiwezi kubadilisha hali halisii..!! So hata placement ikitoka unaweza kuta status inaonesha shortlisted sasa hapo hutaenda kurepot kazini???
 
Ni kweli kabsa kuna mwamba alijikuta kapita kwenye post moja pekee yake akarudi mtaani mahesabu kibao kiwanja, gar kumbe looh hakufikisha passmark ya utumishi zile ndoto zikafifia kama moto wa kibatari,,,,jamaa ali relax san kuon post yupo pke aje kumbe tumishi hawaangalii hlo kma hujafikish wana re-advertise,,,,,,na jamaa alipokuja kuvunjwa moyo ni pale kazi ilelw ilipokunq kuwa re advertised
Yani kwa hili wanazingua sanaa...!!
 
Hazina maana ndo maana huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa.. Ukishakuwa selected unaachana nayo itabadilika inavyoweza ila kamwe haiwezi kubadilisha hali halisii..!! So hata placement ikitoka unaweza kuta status inaonesha shortlisted sasa hapo hutaenda kurepot kazini???
😂😂😂😂Zina maana yake sema maana yake sasa hatuijui lakini kwa user wa system Zina maana yake mzee
Kama hazina maana basi ukikuta not selected for oral we nenda kapige oral tuone kama watakuruhusu😂😂😂
Sema maana tunazozijua sisi ni zile za mwanzo lakini after ndo hatujui
 
Back
Top Bottom