Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
[emoji23][emoji23][emoji23] abeche pia alimuuliza huyo jamaa chanzo ni kip ? Hakujibiwa , na Leo wizy anaulizwa " unauhakika gn ni mtu wautumishi?" ...muda mwingine humu hatjuani aisee Maana humu JF watu wapo wa aina mbalimbal mpaka usalama wa taifa, polisi ,utumishi na wengne wengi tu ila hatujuani kabisa ...usidharau mawazo ya Mtu humjui aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Unahakika gn ni
Mtu wautumishi [emoji1787][emoji1787]