Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hakuna data base mkuu hapo maana hata Mimi Kuna moja nilikosa mwaka jana mwaka huu wakatoa nafasi wakaitwa wengine yangu ipo selected for oral muda wote
Na hakuna SHORTLISTED au sio kuna SELECTED FOR ORAL nabado tumekandwa ...tufufue mambo za status et eeh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] tujadili vzr hapa au tuache hazina uhusiano nn[emoji23][emoji23][emoji23].. mwanangu wizy tutirilike bas na status [emoji23][emoji23]
 
Yaani IT wa psrp ndio anajua ukwel wote yaani ,,ila kala zake buyu tu anawaangalia mnavyo angaika na status zenu [emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yes IT ndo anajua Zina maana gani kwasababu unapo programme system kila kitu kina maana hata mkato tu kwahiyo kusema hazina maana hapo tunajidanganya wenyewe ,zile Zina maana yake sema sisi ndo hatujui hiyo maana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Uzuri mimi status zote nshazipitia nikaziona mzee sijui not selected nnazo selected for , selected for oral , shortlisted, mpaka shortlisted for written zipo na zipo ambazo sikufanya
Ukitaka kujiuliza Kwamba hizi status hazina maana au vipi Kuna zile ambazo hukwenda kufanya hizo hazibadilikagi hata kidogo hubaki vile vile ,sasa je hujiulizi kwanini hizo zisiandike shortlisted??kama status haina maana basi zijiandike na hizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Statu hazina maana sana ila Kamwe huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Utumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi
Mzee wakuichakata kimasihara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we subiri mwaka huu tutapata kazi kimasihara mzee
 
Yes yes kuna siku jamaa alinijibu humu nafikiri atakuwa anahusika na utumishi alieleza vizuri tu kuwa hizi status Zina maana kwa yule user wa system ndo anajua Aliandika vile anamaanisha nini
Mie mweyw nakumbuka na kuna jamaa mmoja alitoaga ka ufafanuzi kuhusiana na status ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…