[emoji23][emoji23][emoji23] abeche pia alimuuliza huyo jamaa chanzo ni kip ? Hakujibiwa , na Leo wizy anaulizwa " unauhakika gn ni mtu wautumishi?" ...muda mwingine humu hatjuani aisee Maana humu JF watu wapo wa aina mbalimbal mpaka usalama wa taifa, polisi ,utumishi na wengne wengi tu ila hatujuani kabisa ...usidharau mawazo ya Mtu humjui aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Unahakika gn ni
Mtu wautumishi [emoji1787][emoji1787]
๐๐๐๐๐Hahhhhh mimi naamini yule na bkwep ni utumishi yupo na mwingine jina nimesahau lakini hao ni utumishi hayo nayaamini kabisa ingawa sina uthibitisho na msiniulize kwanini naamini hivyo[emoji23][emoji23][emoji23] abeche pia alimuuliza huyo jamaa chanzo ni kip ? Hakujibiwa , na Leo wizy anaulizwa " unauhakika gn ni mtu wautumishi?" ...muda mwingine humu hatjuani aisee Maana humu JF watu wapo wa aina mbalimbal mpaka usalama wa taifa, polisi ,utumishi na wengne wengi tu ila hatujuani kabisa ...usidharau mawazo ya Mtu humjui aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ili ulambe gap in case Upo kanzi data,, wanaweza angalia ka elimu kako tu sio??@wizy [emoji4][emoji4]Kwa post ambazo hazihitaji experience kubwa vetting inabase kwenye elimu yako tu
Bora waishie kwenye education tu hukohuko maana maisha ya mtaani majanga mengi....Kwa junior levels wanaangalia education background tu
Yani data base pale mnaweka kwa marks then kumselect mtu ndo vetting itaanza kufanyika hapo katika wale mliopo kwenye data base kupata kazi sio kujibu tu maswali kuna na mengineIli ulambe gap in case Upo kanzi data,, wanaweza angalia ka elimu kako tu sio??@wizy [emoji4][emoji4]
๐๐๐๐Hahhhh managerial level ndo wanakufatilia mpaka mtaaaniBora waishie kwenye education tu hukohuko maana maisha ya mtaani majanga mengi....
Hv hawa mawaziri wetu wanafanyiwa vetting au ndo konekshen tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh managerial level ndo wanakufatilia mpaka mtaaani
KonekisheniHv hawa mawaziri wetu wanafanyiwa vetting au ndo konekshen tu
YesGoal la kiwango from brazil
AmenWAKATI WA MUNGU NI WAKATI BORA SANA, TUENDELEE KUA WAVUMILIVU
Amina...ngoja tule mpozo vizrWAKATI WA MUNGU NI WAKATI BORA SANA, TUENDELEE KUA WAVUMILIVU
๐๐๐au sioAmina...ngoja tule mpozo vizr
๐๐๐๐Subirini mwezi ujaoBila shaka jobless wote mumeamka salama.
Subira iendeleee
Mwezi ujao si wiki ijayo fresh tu tulipotoka ndo mbali๐๐๐๐Subirini mwezi ujao
Yes wiki ijayo zitatoka chache tu subiri ile jtatu ya wiki nyingineMwezi ujao si wiki ijayo fresh tu tulipotoka ndo mbali