Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumbe Wakandaji hawaruhusu mtu kuvaa saa ndani ya chumba Cha mtihani.. nimeona Leo watu wanavulishwa, hawataki longolongo kabisa😁😁
 
Maswali ya admission officer OUT 26/11/2022
Kutoka kwa mdau aliyekuwa kwenye chumba Cha mtihani

3. Condition for admission to be successful
1. One among the stages of doing the admission is to fill out the form, explain the next stapes follow after that
2. As an admission officer what can you advise the student who wants to make transfer for university
4. Hapo limenitoka kidogo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Maswali yanaeleweka japo sijajua mlienda watu wa fani gani
 
Fresh kiongozi tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…