Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Jobless ulikua unalia Lia hapa nikakubembeleza kumbe genius kabisa 🤣🤣 mda wa oral upoje? Kama zipo saa Moja ni ngumu kujigawa so we angalia kwenye chance ya kutoboaaaa
 
wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Unaweza kufanya zote ila kama ukifika katika oral waombe uanze wa kwanza katika nafasi Moja then ukitoka unawahi ingine Kuna mwanangu alipata kama hivyo inawezekana kufanya zote waweke wazi ila uwahi Moja uwe wa kwanza Kwa kuwaomba inawezekana kabisa
 
wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Waombe kikubwa zinafanyika sehem Moja,maana sio kama wote mnaingia kwa wakati mmoja so watakuweka uingie mapema oral Moja alafu nyingine jina lako wanalisogeza mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…