Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Duuh kweli nomaYes this November.
Nafanya oral 29/11/2022.
Lkn website na app kuna utofauti.
App hainiambii nimeitwa kufanya nini.
Ila website imesema nije kwenye oral
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kweli nomaYes this November.
Nafanya oral 29/11/2022.
Lkn website na app kuna utofauti.
App hainiambii nimeitwa kufanya nini.
Ila website imesema nije kwenye oral
Daah, pole mkuu.Nishakandwa boss.. kesho narudia Mjini
Waliitwa moja kwa moja kazini?Wizara ya ardhi iliita wote walioomba kazi bila hata kupiga pepa
Hongera sana mkuu, umewakanda kweli kweliwakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Unasafiri usiku huu au ndio imetoka hiyo?Haha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahaha
Atabadili ID tu[emoji3][emoji3]Then badae tunalalamika utumishi hawatangazi Ajira unaenda Fanya interview hausubili matokeo unarudi dar kumbe ndo ilikua nafasi Yako JINA lako mie nalimark mkuu siku nikikuona unalalamika hapa patachimbika aisee we ngoja tu[emoji34]
Nenda kapige Oral achana na mambo ya status, fuata status ya websiteWazeee izi status kweli sio issue ya kuumiza kichwa.
Kwenye website niko "selected for oral"
Kwenye app niko "selected for null"
Hii ngoma inachanganya.
Oral ni tarehe 29 jnne
Yah ni advantage ya kua kwenye city, nasafiri usiku! Nimepata encouragement kutoka kwa jamaa aliyekuua ana Subiria baadae akaondoka coz majibu yalibidi yawe mchana yametoka saa 2 usiku! So now yupo mbey nae anaitafuta Dom!Unasafiri usiku huu au ndio imetoka hiyo?
Kila la kheri mkuuAsanteni wakuu kwa ushauri ngoja nisomee zote kesho nitege nyavu sehemu zote
Mono gani anakua na limi mbili…website ndo kila kitu aache uoga wakeNenda kapige Oral achana na mambo ya status, fuata status ya website
Sawa mkuu, safari njemaYah ni advantage ya kua kwenye city, nasafiri usiku! Nimepata encouragement kutoka kwa jamaa aliyekuua ana Subiria baadae akaondoka coz majibu yalibidi yawe mchana yametoka saa 2 usiku! So now yupo mbey nae anaitafuta Dom!
Pamoja sanaSawa mkuu, safari njema
ivi status zina maana kweli naomba ufafanuzi mi nilikosa nafasi september post ilikua ya mtu mmoja tu lakini status yangu inaniandikia shortlisted na ratiba ya interview kuna uwezekano wa kanzidata apa naombeni muongozo wakuuNenda kapige Oral achana na mambo ya status, fuata status ya website
Uliitwa oral moja kwa moja?ivi status zina maana kweli naomba ufafanuzi mi nilikosa nafasi september post ilikua ya mtu mmoja tu lakini status yangu inaniandikia shortlisted na ratiba ya interview kuna uwezekano wa kanzidata apa naombeni muongozo wakuu
Ulifanya oral?ivi status zina maana kweli naomba ufafanuzi mi nilikosa nafasi september post ilikua ya mtu mmoja tu lakini status yangu inaniandikia shortlisted na ratiba ya interview kuna uwezekano wa kanzidata apa naombeni muongozo wakuu
Mimi pia ilinitokea nimefaulu kwenda oral mbili na zote zilikuwa zinafanyika wakati mmoja hivyo Basi nikiwaeleza wasimamizi wa usaili wakanipangia sehemu moja nikawa wa kwanza nilipotoka hapo nikapelekwa upande wa pili nikamalizia nyingine bila kukaa foleni yoyote, hivyo Basi hongera na inabidi upige zote mbili maana umetoa jasho lako kubwa kufika hapowakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa huna hela utashangaa hata showroom unazuiwa
Sail zangu zote nimeenda dom night (moja ilikuwa saa 5 usiku na nyingine ilikuwa saa 6) usiku ndio natoka Dar then saa 12 asbh niko dom nimefanya hivyo zaidi ya mara moja (moja kati ya hizo ilikuwa kipindi shule zinafungua mwezi wa tisa usafiri ulikuwa wa shida balaaa pale ubungo kibo) nilichofanya nilitafuta gari ya moro chap nikatinga moro then moro kwenda dom huwa 24Hrs gari za private zipo ni wewe tu na 15k-20k kulingana na hali ya usafiriYah ni advantage ya kua kwenye city, nasafiri usiku! Nimepata encouragement kutoka kwa jamaa aliyekuua ana Subiria baadae akaondoka coz majibu yalibidi yawe mchana yametoka saa 2 usiku! So now yupo mbey nae anaitafuta Dom!