Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Duh kwa nn aisiruhusiwe?May b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa nn aisiruhusiwe?May b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
Au wanaogopa anaweza kupata mfazaiko unaweza kupelekea akapta uchungu wa gafla niniMay b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
Kwa hiyo ukiwa mjamzito huwezi kufanya Interview? au waliteteaje hiyo hoja yaoMay b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
ok, sasa subiri pdf ya placement, achana na status. PDF pekee ndio ina majibu sahihi baada ya oralNdio nilifanya oral
Hii mpya na sijawahi iona, wajawazito wanafanya usaili kama kawaida.May b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
Kweli juzi tu hapa tulikua migiro hapo for MDA na mjamzito alikuepo na akafanya oral wa kwanzaHii mpya na sijawahi iona, wajawazito wanafanya usaili kama kawaida.
Mimi last month tarehe 22 hadi 24 October nilifanya usaili wa NPS na tulikuwa na watu wa MDA & LGA. Kulikuwa na wajawazito na wanaonyonyesha kwenye written hadi oral.
Kwenye panel yetu oral, kulikuwa na mjamzito na anayenyonyesha....yule mtu wa sekretariat akatangaza kuwa kama kuna wenye dharura hizo watapewa kipaumbele. wakapewa nafasi ya kuchagua waingie nafasi ya ngapi..Na kweli waliingia mapema mmoja mtu wa 3 na mwingine wa 5, mapema tu.
Tunasubiria placements tu now..
Yeye kauliza uwezekano wa kuwepo kanzidata hiyo nafas alishaikosa tyr, means placement ilishatokaok, sasa subiri pdf ya placement, achana na status. PDF pekee ndio ina majibu sahihi baada ya oral
Miezi 6 imepita tangu placement itoke?Yeye kauliza uwezekano wa kuwepo kanzidata hiyo nafas alishaikosa tyr, means placement ilishatoka
Watakua wamemkanda na maji moto sana 🤣🤣 tusikate tamaa maisha mapambanoWizy kakimbia kabisa pole yake🤣🤣🤣 utumishi sio kabisa
Anarefresh status inasoma red not selected balaaa🤣🤣Watakua wamemkanda na maji moto sana 🤣🤣 tusikate tamaa maisha mapambano
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] toka Jana hajarudi hapa kuleta mrejeshoAnarefresh status inasoma red not selected balaaa[emoji1787][emoji1787]
Umepita mwez mmoja na nusu mkuu tangu placement itokeMiezi 6 imepita tangu placement itoke?
Atakua yuko oral may be[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] toka Jana hajarudi hapa kuleta mrejesho
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nimemuliza wa jikoni ameniambia kanzi data ni miezi nane ila kulikuwa na pendekezo iwe mwaka kutokana na uchache wa nafasi mpya za ajira ila hilo bado halijapitushwa ila upo uwezekano ikiwa mwaka au miezi nane ile ileUmepita mwez mmoja na nusu mkuu tangu placement itoke
Hapo nadhani usitarajie sana ila placement zikitoka usiache kupitiaPlease naomba uniulizie kwa wa jikoni miezi saba tangu oral bila placement kutoka, je Kuna matumaini?
Hii hapana mbona tunafanya nao usaili Kila sikuKwa hiyo ukiwa mjamzito huwezi kufanya Interview? au waliteteaje hiyo hoja yao
Duuh miezi saba mbona hatari ila usiache kuchungulia placement mbali mbali kama ulifanya vizuri oral huenda ukalamba asali sehemu nyingine kabisaPlease naomba uniulizie kwa wa jikoni miezi saba tangu oral bila placement kutoka, je Kuna matumaini?
Hivi alikandwa kwenye written?Wizy kakimbia kabisa pole yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] utumishi sio kabisa
Vuta subira, kanzi data inaishi kwa miezi 6 tangu placement itokeUmepita mwez mmoja na nusu mkuu tangu placement itoke