Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann watu wa IT wapogo hivi[emoji23]
Imekuajee mkuusina lakusema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hamna mkuu,nimechoshwa tu na hii mikandoImekuajee mkuu
Sababu watu ni wengi sanaIla hawa jamaa wanazungua tu yan mchujo tarehe 4 ,oral tarehe8
Hongera mkuuhaya wakuu nimepiga Oral zote mbili narejeaaa home nipo Stand ya Nane8 naska gari la home..
asanteni kwa ushauri..
tusikiliziiie Placement sasa ambayo nahisi itatoka January.
Yaendelee,wote mliokandwa msivunjike moyo Kila mtu na wakati wake kama tunavyotofautiana nyakati za kuja duniani na kuondoka,tusikate tamaa tuendelee kupambanaHongereni wote mlioitwa kwenye mikando.
Na wale mliokandwa leo kwenye Oral, poleni sana.
Mapambano ya kuusaka mrija wa Asali yaendelee
Yeah nimeona karibu taasisi zote ambazo zilikua zinapigiwa kelele wameitaSababu watu ni wengi sana
Bado taasisi ya ndoto yangu kufanya kazi..UDSM😁😁😁Yeah nimeona karibu taasisi zote ambazo zilikua zinapigiwa kelele wameita
Una received mkuu?Bado taasisi ya ndoto yangu kufanya kazi..UDSM😁😁😁
Ndio mkuu yaani PSRS wangejua ninavyoependa UDSM,, wangenipa tu hyo kazi.. nitafanya kazi kama punda,, akiyanani UDSM watapata Jembe kabisa hapa😂😂Una received mkuu?
Utapata mkuu amini hivyo,Ndio mkuu yaani PSRS wangejua ninavyoependa UDSM,, wangenipa tu hyo kazi.. nitafanya kazi kama punda,, akiyanani UDSM watapata Jembe kabisa hapa😂😂
Tena maneno yako yawe Barakah kabisa.. Nazisikilizia hzoUtapata mkuu amini hivyo,
Ameen yatatimiaTena maneno yako yawe Barakah kabisa.. Nazisikilizia hzo