Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

D
Sail zangu zote nimeenda dom night (moja ilikuwa saa 5 usiku na nyingine ilikuwa saa 6) usiku ndio natoka Dar then saa 12 asbh niko dom nimefanya hivyo zaidi ya mara moja (moja kati ya hizo ilikuwa kipindi shule zinafungua mwezi wa tisa usafiri ulikuwa wa shida balaaa pale ubungo kibo) nilichofanya nilitafuta gari ya moro chap nikatinga moro then moro kwenda dom huwa 24Hrs gari za private zipo ni wewe tu na 15k-20k kulingana na hali ya usafiri

Hadi now ninavyo andika Nipo kwenye gar now usiku huu napambana saa 7 kasoro (Napenda kusafir usiku)
Duh
 
Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.

Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
 
Hongera sana, kuhusu hilo la kupewa kipaombele, 100% watakupa kipaombele, wako fair sana linapokuja suala la "situations".

Ikawe heri kwako.
 
Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.

Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Hongera,wanakupa waambie tu utaingia wa kwanza
 
Sail zangu zote nimeenda dom night (moja ilikuwa saa 5 usiku na nyingine ilikuwa saa 6) usiku ndio natoka Dar then saa 12 asbh niko dom nimefanya hivyo zaidi ya mara moja (moja kati ya hizo ilikuwa kipindi shule zinafungua mwezi wa tisa usafiri ulikuwa wa shida balaaa pale ubungo kibo) nilichofanya nilitafuta gari ya moro chap nikatinga moro then moro kwenda dom huwa 24Hrs gari za private zipo ni wewe tu na 15k-20k kulingana na hali ya usafiri

Hadi now ninavyo andika Nipo kwenye gar now usiku huu napambana saa 7 kasoro (Napenda kusafir usiku)
Ila siku nyingine kama haina ulazima sana wa kusafiri usiku kwa ajili ya usaili ni Bora uwahi,maana njiani changamoto ni nyingi mambo hayatabiriki usije ukakosa saili kizembe na pengine hata chance ya kufaulu ni kubwa
 
Hapana apige zote, interview ua ina
Kwa nn usichague moja tu alafu uinvest kwenye hio tu...naona kama kutaka kufanya zote mambo yatakua mengi kwa mtazamo wangu.

Hapana apige zote, interview ua ina maswali yale common yatambeba sana pia ile interview atakayoichagua ya kwanza apige msuli haswa, ile nyingine atasoma baadaye wakati wengine wanaendelea kukandwa, hapa asiangalie mtu usoni!
 
wakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Hongera mkuu,

Kama zinafanyika sehemu moja, jisajiri zote oral ya kwanza jisajiri mwanzoni na ya pili kajisajiri mwishon then relax.

Kuiingia kwenye usaili huwa wanafata hyo karatasi ya kujisajiri uliojaza taarifa zako.

Kila la kheri.
 
Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.

Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Hongera sana,

Mara nyingi kuna magroup huwa yanapewa kipaumbele ikiwepo walemavu, wajawazito na wenye watoto wadogo au wanaonyonyesha.

Wewe fika mapema ukiwa na mtu wa kumtazama mtoto na pia washirikishe jambo hilo utapewa kipaumbele kuingia kwenye usaili.
 
Mi nashukuru Mungu nimepita oral kwa mara ya kwanza. Kwangu mimi huu ni ushuhuda, baada ya kushindwa interviews nyingi. Tumepita 6 tunahitajika wanne.

Swali: Niko na mtoto mchanga nanyonyesha, je wanaweza kunipa kipaumbele wanihoji wa kwanza ili nikaendelee kunyonyesha?
Ndio, tena na mwanao hapo uwe na msaidizi pembeni, watakuita fasta ukamalizane nao
 
Hongera sana,

Mara nyingi kuna magroup huwa yanapewa kipaumbele ikiwepo walemavu, wajawazito na wenye watoto wadogo au wanaonyonyesha.

Wewe fika mapema ukifa na mtu wa kumtazama mtoto na pia washirikishe jambo hilo utapewa kipaumbele kuingia kwenye usaili.
May b
Lakin kwetu wakat wa usaili walitangaz moja kati ya vitu vitavyokufanya usiruhusiwr kufanya interview ni ukiwa mjamzito hutaruhusiwa kuingia kwenye interview room
 
Back
Top Bottom