Wamekuandikia not selected au??
Nishakandwa boss.. kesho narudia Mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishakandwa boss.. kesho narudia Mjini
mkuu ushaanza kuogopaWamekuandikia not selected au??
Atwambiee imemuandikiaje 😅Wamekuandikia not selected au??
Jobless ulikua unalia Lia hapa nikakubembeleza kumbe genius kabisa 🤣🤣 mda wa oral upoje? Kama zipo saa Moja ni ngumu kujigawa so we angalia kwenye chance ya kutoboaaaawakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Hongera sanawakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Oral si mnaingia mmoja mmoja ukifika jaribu kuwaelezea unaweza fanya zote mbiliwakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Unaweza kufanya zote ila kama ukifika katika oral waombe uanze wa kwanza katika nafasi Moja then ukitoka unawahi ingine Kuna mwanangu alipata kama hivyo inawezekana kufanya zote waweke wazi ila uwahi Moja uwe wa kwanza Kwa kuwaomba inawezekana kabisawakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Toa taarifa kwa wasimamizi wanakupa kipaumbele interview moja unakua wa kwanza nyingine unakua mwishoni, toa taarifa mapemawakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine
Haha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahahaKasema mkando ndoige!. Mimi pepa ya mwisho nilijua nimepoteana vibaya nikarud dar, matokeo kutoka nimo oral sikuamin....inawezekana wengi wakafeli mkakokotwa!
Then badae tunalalamika utumishi hawatangazi Ajira unaenda Fanya interview hausubili matokeo unarudi dar kumbe ndo ilikua nafasi Yako JINA lako mie nalimark mkuu siku nikikuona unalalamika hapa patachimbika aisee we ngoja tu😠Haha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahaha
Sa pachimbike nini mkuu, si maamuzi yakeThen badae tunalalamika utumishi hawatangazi Ajira unaenda Fanya interview hausubili matokeo unarudi dar kumbe ndo ilikua nafasi Yako JINA lako mie nalimark mkuu siku nikikuona unalalamika hapa patachimbika aisee we ngoja tu[emoji34]
Unachukulia seriously Mkuu? Haya ni Maisha yake na mipango yakeSa pachimbike nini mkuu, si maamuzi yake
Yeye ni mtu mzima anajua analolifanya af utajuaje mzee labda jamaa yuko vzuri sio kila anaeomba kazi utumishi ana njaa.Unachukulia seriously Mkuu? Haya ni Maisha yake na mipango yake
Nakushauri sana safiri usiku huu, usiache jasho lako lipoteeHaha..wameniita oral kesho now nipo Dar napiga lagerr hahaha
Ndio nimekujibu hapo wewe unaona nilikua serious kila Mtu hapa Ina mipango yake mzeee siwezi kumshangaa hata mie Kuna interview nikiitwa siendi ila niliomba kazi🤣Yeye ni mtu mzima anajua analolifanya af utajuaje mzee labda jamaa yuko vzuri sio kila anaeomba kazi utumishi ana njaa.
Kila anyeomba kazi ana njaa asikudanganye mtuYeye ni mtu mzima anajua analolifanya af utajuaje mzee labda jamaa yuko vzuri sio kila anaeomba kazi utumishi ana njaa.
Sio kweli mkuuKila anyeomba kazi ana njaa asikudanganye mtu
Unaomba kazi ya nn huna njaa Kwamba????Sio kweli mkuu
Waombe kikubwa zinafanyika sehem Moja,maana sio kama wote mnaingia kwa wakati mmoja so watakuweka uingie mapema oral Moja alafu nyingine jina lako wanalisogeza mbelewakuu nimechagulia oral post zote mbili halafu mda wake ni mmoja
hapa huwa inakuwaje nichagueee sehemu moja tu niache tamaaa au.. kuna mbinu nyengine