Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ss hawajajiandaa ndio hata kuita wengine kazini, waliofanya usahili hawataki ?? meck pro
Ndio kutokujiandaa huko mkuu wakuite KAZINI Usaini makaratsi ukae mtaani Zaid ya miezi 3+ hivi unajua mambo hapo yote unasimama hata hamu ya kufanya kitu Cha maendeleo inatoweka so Bora uendelee kufanya kazi tu mtaani kwanza wakikamilisha wakuite uende Moja Kwa Moja Kazini Kuna watu Wana Fanya kazi za kilimo(Kuna jamaaa naye kapata placement VETA) Baada ya miezi 2 au 3 anavuna anauza Sasa ikitokea kapata placement kila kitu kinasimama akijua ataitwa akaanze kazi so now yupo tu haelewi afanye nn kazi hafanyi kuhofia akiitwa job kesho na kalima Leo inakuaje so anatumia Hela tu miezi yote hiyo bila kuingiza kitu mkuu so mie kwangu ni Bora usiniite kama hujakamilisha utaratibu Kwa sababu inakua kama unanilemaza sifanyi Tena kazi na wewe upo kimya tu unasema utapiga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…