Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu mimi nliombaga posts Fulani ambazo Kuna position zinmetoka juz kati nlikuwa shortlisted ila za Leo nmetemwa hata sijui tatizo ni nini ?maana hata kwenye account Bado hawajaweka sababu ya kutokuwa shortlisted


Au ndo Ile tusubirie majina ya nyongeza🤔
 
Subiri kwanza uone sababu ya kutokuwepo kwenye pdf kupitia account yako. Kama sababu sio ya kweli, basi mapema uwahi kuwatafuta kupitia namba zao. Mkielewana, hapo sasa ndipo utawekwa kwenye pdf ya majina ya nyongeza [emoji120]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naomba kama kuna namba ya simu inayojulikana inapatikana utuwekeee hapa mkuu sababu hata me nimetemwa mkeka wa muhimbili ilihali kila kitu nimekamikisha na nishaitwa interview kadhaa
 
Back
Top Bottom