Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wameniwekea saiv sababu wandai sijaweka passport wakat ipo siku zote na baaz ya interview nimeitwa
Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.

Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.

Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza nene
Screenshot_20220909-101044.jpg
 
Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.

Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.

Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza neneView attachment 2351106

Duh! Mkuu, hebu wasiliana nao, wanaweza kuibadilisha.
 
Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.

Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.

Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza neneView attachment 2351106
Nilikuambia mkuu Kuna cheti huja attach Nina uhakika ikirudi kwenye tangazo la kazi utakuta wamekuambia hicho cheti kinatakiwa
 
Kwenye portal kuna sehemu ya kuattach registration Certificate, ila hamna sehemu ya kuattach Licence certificate.

Kwa hiyo hapa ilitakiwa niziunganishe kwenye PDF moja halafu niattach kwenye sehemu ya Registration Certificate?
 
Hapo siweji jua wap pa kuweka kwa kweli ila mie Kama Kuna kitu ninacho huwa nakitupia huko training and workshop watajua wenyewe ila kama vipi wacheki maybe watakua na maelekezo ya maana
 
Kuna kitu hajikaa sawa serikalini ndo mana hawajaweka placement ya kada yeyote, cha msingi tuwape muda mm naamini mwezi huu wanatoa.
Na iwe hivyo kiongozi maana unaeeza kuta tunaendeleza mapambano kumbe kwe placements upo huku ukiziba ridhiki kwa wengine au unaweza kusema kwe placements upo kumbe haupo ukadharau saili nyingine
 
wanavyodai mchakato wa kupata watu kwa upande wa utumishi ni chap ila changamoto inakuja kwa waajiri ndio wanaochelewesha
 
Back
Top Bottom