Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.Wameniwekea saiv sababu wandai sijaweka passport wakat ipo siku zote na baaz ya interview nimeitwa
Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.
Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza nene